Mbwana Samatta ni mchezaji wa kawaida sana anakuzwa mno

sasa icho ulichopost ni nn ebu soma kichwa cha habari
 
Huu hapa leta na wewe mfungaji wakoView attachment 1326781

Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa unajua walau league ya Belgium inavyoendeshwa usingeleta hii Takwimu ... Sikia kijana ,


Ligi ya German imegawanyika kwenye sehemu 2 , Pro league na Play off league ya mechi 10 baada ya ligi ligi ya kwanza kuisha ... Hii hushirikisha timu kuanzia inayoshika nafasi ya kwanza mpaka nafasi ya 6....


Katika zile mechi za playoff samata akizidiwa magoli... Acha kuniwekea Takwimu usizojua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leta ushahidi wa huyo mfungaji wako Acha maneno ya kwenye kanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…