Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Hata ronaldo alianzia Lisbon kabla ya kwenda man u na real.
Huo ni mwanzo maana yeye kuwafunga mabeki wa ubelgiji sio kitu cha kawaida.
Stars yenu hata mkimweka Ronaldo haifiki popote.
Viungo matatizo beki njaa wenger fyongo mnamlaumu samatta eti uwezo mdogo.
Kwahyo ulitaka akabe yeye,atengeneze yeye na ajitolee assist mwenyewe au?!
Kitu ambacho hatta adunje messi anaesifika play maker of all time hawez.

Samatta anakuzwa na wanasiasa ni mchezaji wa kawaida sana.....hata yeye mwenyewe Samatta analielewa hilo!nia yake ya kukimbilia kucheza EPL tena timu kama Brighton ni udhibitisho tosha kabisa....angekuwa na "kiwango"angeanza kuota kuzichezea ManU,Mancity,Liverpool,Arsenal,Chelsea,nk!