Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #81
Dah, wewe upo kama mimi nilipanga mwaka huu ni kusoma biblia na kupata muda wa kuzungumza na Mungu kila siku kabla sijalala, lkn toka wk iliyopita sijafanya hicho kitu. Narudi nimechoka hata kushika biblia shida.
Be Humble is free of charge [emoji873]
Mke yupo mbali kimasomo,kwa hiyo nna utaratibu kujilipua nyeto pale hamu inapozidi.toka mwaka desemba 23 na kuendelea mpaka mwaka huu niliweka nadhiri ya kuacha huu mchezo,ngoma imekwenda mpaka jumamosi ya juzi,nikaona. Kwanini niteseke? Nikafungulia bomba,chapa goli nane jumamosi,mbili jumapili,na leo moja, hii tabia naichukia sana ,kuchepuka hapana siwezi msaliti mke wangu,nikifanya mazoezi hamu ndio inazidi mana mwili unakuwa hot kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
mi nilipanga kutunza pesa kwa kibubu mweeh nimekibomoa sijui nifanyaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu...brazzers wameshusha mizigo mipya kutoka venezuela,Philippines na Brazil.... Unakosa mambo kibao mkuu pole sanaTangu niangalie porn mwaka jana mbaka leo sijaangalia tena
Mkuu huwezi kufeli...anza kutafuta masoko sasaMi mwaka ulivoanza tu nikapanda gari nkaenda ifakara nikalima heka 19 za mpunga japo sijawahi kulima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu...brazzers wameshusha mizigo mipya kutoka venezuela,Philippines na Brazil.... Unakosa mambo kibao mkuu pole sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ana furaha sana jamaniiMbona unanikimbizia bebe wangu lakini?
We hutaki Auntie yako awe na furaha zaidi?
Sawa auntie wanguWacha bwana!! Alafu wakubwa wanapozungumza wewe inatakiwa ukacheze mdako kuleee na watoto wenzio. Sawa?
Namuonea huruma aki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshindwa acha chating while driving
Juz kat hapa ilibak kidogo ile kwangu,..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unamfundisha atuchukieHapaa sitii neno,nisije nikaonekana Anko mpya mnoko!
Poa mkuu ukiachana na hao tunakukaribisha chama pendwa cha wapiga deki tz CCWDT
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu kwann mnawaitaga expired..... Mimi sidhani kama kuna papuchi inayoexpireWale ma X zako wa JF wanaruhusiwa kuja kucomment hapa pia mkuu?
Ndio lengo langu hilo aendelee hivyo hivyo kuwa na furaha zaidi na zaidi!Ana furaha sana jamanii