FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #341
Kweli kabisa, Dubai hawana mafuta kama jirani zao, uchuni wao unategemea biashara tu, hawana nchezo na biashara na Mwenyezi Mungu anawabariki hawana longo longo na biashara.Sio kwa bandari za ulaya tu, sasa wameziingilia club za mpira na Manchester united nayo imepitiwa acha mchezo na pesa, wanachotaka wao walichowekeza kilete manufaa sio bla bla
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.