Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

Wasiwekeze kwanza. Mbona bado wananchi hatujakubaliana wala ile mikataba ya project kwa project hatujawekeana mkataba hsta mmoja. Au ndio hii document inatushangaza kwa masharti yake wamesaini kina mbarawa wao ndio wanajua wameshapewa bandari zetu? Uongo wao mbona tayari tutakua tumehakikisha.
Waarabu wao wameshajua bandari zetu ni zao😂🤣
Umechelewa jamvini karamu imeshaliwa.

Wewe unakumbuka shuka kumekucha.
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.

Kama mambo yatakuwa hivyo naunga mkono hoja
 
Magufuli pekeake keshazika trillion Moja hapo bandarini harafu sisi tunaenda kuigawa kwa waarabu
Pamoja na kuzika hiyo tilioni yake..si kafeli..mwisho wasiku hafi waziri anaenda nae anakuta upuuzi uleule..hiyo tilion ililiwa yeye na wapigaji wenzie...wakija kwenye majukwaa wana Danganya vingine.
 
Kama mambo yatakuwa hivyo naunga mkono hoja
Siyo hivyo tu, ni mengi sana tena sana, pitia hizi nyuzi 👇🏾

Hii bandari tangu kipindi cha lowasa..aliwapa lafiki zake kina karamagi na tix yao..wamekaanayo miaka zaidi ya 20 sasa.kwenye mafuta uhuni, kwenye makontena uhuni..wanatengeneza taharuki kila mwaka kwenye hii bandari..kwa kipimo hiki..hakuna mtanzania atakaeweza kusimamia pale.

Kweli kuna vitu habipaswi kubinafsishwa kwa % zaidi ya 55 kwa wageni.kama vile mawasiliani, maji, umeme, viwanya vyandege pamoja na bandari..ila sasa ujinga wetu na ubinafsi wa kupenda familia zetu.ni bora sehem muhimu zinazogusa hasa wateja bora wapewe wenye uwezo.
 
Inawezekana kweli, hivi hakuna watu wanasamehewa Kodi au kupunguziwa bandarini? Maana tunaweza kuwa tunapiga kelele bandari inauzwa kumbe tunasaidia kutetea wanufaika.
Bandari ni taasisi nyeti sana, wengi wanaopiga kelele ni wanufaika wa huu mfumo wa sasa. Kwao mambo yakienda vibaya serikalini ndio huwa neema.

Inakuja digital port, hakuna tena mianya ya upigaji inayozoeleka. Hawawezi kukubali kuona ulaji unawachomoka bila ya kupambana kwa kuilisha jamii pana matango pori kwamba serikali yetu inauza bandari.
 
sasa million 500 USD si sawa na Trillion 1 TSH waliowekeza gati namba 8-11??

Unaongea TakaTaka
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Mwanzoni watu wataona kama ni mzaha, hawa watu sio wa mchezo wewe angalia nchi yao huwezi kuamini kama ni jangwa, hawa wana kuja kuchapa kazi
 
Hao wanaupiga mpaka bandari za Ulaya na America.

Hawana nzaha kwenye kazi hao.

Mama anaupiga Kimataifa.
 
Hatuna mashaka na utendaji wao wa kazi. Wapo vizuri mnoo. Tatizo letu ni huu mkataba unamaslai gani kwa taifa na mkataba ni wa miaka mingapi ?? Na kwanini iwe bandali zote Za TZ bara ?? Kama ni mkataba mzuri kwa nini na bandari za zanzibar zisijumuishwe ? Ili tupate manufaa zaidi ??
Asa uwezo wa kuziendesha mnao ? Aah
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Kwan umeambiwa serikali haiwez kufanya Hayo Mpka Hao DP world hiyo trion 1.3 serikali inayo kuweza kufanya Hayo yote na bandari ikaendeshwa na TPA Kwa kuweka watu weny weredi na kuwawajibisha wote wazembe , Sio lazima Kila kitu wafanye wageni ,serikali IPO na inaweza kuwekeza Pesa yoyote na bandari ikafanya KAZI vzr , Hao DP world ni kampuni ya serikali ya Dubai km wao serikali waliweza kuanzisha hiyo kampuni Kwan sisi kinatushinda nn kuanzisha kampuni ambayo tunaweza kuwapa jkt tukaipa vifaa vya kisasa na ikahudumia bandari na pesa yote ikabaki kwetu ,
 
Hapo Chadema lazima watakwambia haiwezekani na ikiwezekana Mwarabu anataka kuiba mali za Watanzania
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Ambayo ni TZS ngapi??! Ujinga mtupu huo
Hiyo pesa unataka kusema Serikali Haina??!
Ujinga tu
 
Lundo la watu nakuambia over 50Millions wote hatuwezi endesha Jambo dogo kama hilo 'Bandari' mpaka tutafute eti wawekezaji. Watufanyie sisi hatuwezi, Kama vile ni walemavu.
Kwa kweli inasikitisha, badala ya kutengeneza mfumo wetu wa kujitegemea tunajipeleka kwa waarabu. Haeajawahi kuwa watu wazuri kwetu tangu enzi za biashara ya utumwa. Self reliance ya JKNyerere Iko wapi sasa?
 
Kwan umeambiwa serikali haiwez kufanya Hayo Mpka Hao DP world hiyo trion 1.3 serikali inayo kuweza kufanya Hayo yote na bandari ikaendeshwa na TPA Kwa kuweka watu weny weredi na kuwawajibisha wote wazembe , Sio lazima Kila kitu wafanye wageni ,serikali IPO na inaweza kuwekeza Pesa yoyote na bandari ikafanya KAZI vzr , Hao DP world ni kampuni ya serikali ya Dubai km wao serikali waliweza kuanzisha hiyo kampuni Kwan sisi kinatushinda nn kuanzisha kampuni ambayo tunaweza kuwapa jkt tukaipa vifaa vya kisasa na ikahudumia bandari na pesa yote ikabaki kwetu ,
Wamejaribu sana wameshindwa.
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Kwako mama kwasababu ni muislamu hawezi kukosea
 
unavo wapigia debe hao waarabu utazani ume haidiwa kitu vile
 
Hao wanaupiga mpaka bandari za Ulaya na America.

Hawana nzaha kwenye kazi hao.

Mama anaupiga Kimataifa.
Sio kwa bandari za ulaya tu, sasa wameziingilia club za mpira na Manchester united nayo imepitiwa acha mchezo na pesa, wanachotaka wao walichowekeza kilete manufaa sio bla bla
 
Back
Top Bottom