Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
Mimi au mtoa mada?Huna hoja yoyote ya maana zaidi ya kuwa dalali wa udini na chuki za kipumbavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi au mtoa mada?Huna hoja yoyote ya maana zaidi ya kuwa dalali wa udini na chuki za kipumbavu.
Magu akiwekeza tr 2.5DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Kama mama na mawaziri na polisi na USALAMA wameshindwa kuzuia wizi bandarini wangejiuzulu wote.Serikali wanaweza kuwdka zaidi ya hiyo lakini kwanini wameshindwa kwa. Miaka yote?
Majibu ni myepesi sana, Watanzania wana ufisadi, wizi uzembe, majungu, fitina, uvivu, visingizio, ndizo baadhi ya sifa kuu zilizopelekea mashirika ya umma yote kuwa hohehahe.
Bandari si ilikuwa yote chini ya shirika la umma toka ilipovunjika EAH? Ilishindwa nini mpaka kitengo chote cha makontena wkapewa TICTS? Inayomilikiwa pia na Watanzania? Kwa miaka zaidi ya 20 wameipatia faida gani nchi yao?
Wameshindwa kufikia malengo kwa miaka yote hiyo. Jiulize kwanini?
Mama anaupiga mwingi.
Sasa hiyo hela c hata bahressa anatoa. Mbona hela ndogo sanaDP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Wataalamu si wanaajiriwa tu. Kwan hayo mashirika ya ndege imerates au Qatar c wazungu wanaendesha manegement zao zote. Shida ya nchi yetu vilaza ndio wenye maamuz wakati hawajaruhusu utaalamu ufanye kazi.Tatizo siyi hela, tatizo ni nani anafanya nini, aka, utaalam.
Hahaha, sivyo kama unavyofikiria. Kazi za bandari zinahitaji utaalaam mwingi sana. Hatuna.Wataalamu si wanaajiriwa tu. Kwan hayo mashirika ya ndege imerates au Qatar c wazungu wanaendesha manegement zao zote. Shida ya nchi yetu vilaza ndio wenye maamuz wakati hawajaruhusu utaalamu ufanye kazi.
My friend mi sio DP World tu mi shughuli za bandar nazifanya huu ni mwaka wa 25. Hakuna utaalamu wowote zaid ya kuruhusu wenye akili timamu wafanye hizo kaz. Ukifika Antwerp au Singapore ndio utajua acha hiyo port ya Dubai. After all hata hiyo DP World yenyewe wameajiri hao hao wazungu wataalamu which means hata bahressa angeweza kufanya kama ishu ni usimamiz na utaalamu. Ni propaganda tu za kiccm wakishanunuliwa hawana jipya.Hahaha, sivyo kama unavyofikiria. Kazi za bandari zinahitaji utaalaam mwingi sana. Hatuna.
Watanzania wameajiriwa wameshindwa, ndani ya muda mhache sana uongozi wa bandari umeshabadilishwa mara nyingi sana.
Unawafahamu DP World? umeshawasoma utaalam walionao wa mambo ya kuendesha bandari kwa ujumla?
Kwa kukujuza tu, ukubwa wa eneo ls bandari ya Jebel Ali ni eka 33,280.153 (acres) bandari ya Amsterdam ni eka 1, 500 (acres.) kws ukubwa huo inamaanisha bandari ya Amsterdam ziwe 22 ndiyo kwa moja tu inayioendeshwa na ndipo kwenye makao makuu ya DP World. Licha ya bandari zaidi ya 60 wanazozihudumia duniani.My friend mi sio DP World tu mi shughuli za bandar nazifanya huu ni mwaka wa 25. Hakuna utaalamu wowote zaid ya kuruhusu wenye akili timamu wafanye hizo kaz. Ukifika Antwerp au Singapore ndio utajua acha hiyo port ya Dubai. After all hata hiyo DP World yenyewe wameajiri hao hao wazungu wataalamu which means hata bahressa angeweza kufanya kama ishu ni usimamiz na utaalamu. Ni propaganda tu za kiccm wakishanunuliwa hawana jipya.
Mama Samia kaukuta wizi umeota. Mizizi bandarini kwa miaka, ndiyo anatatuwa tstizo kwa njia za kisasa kabisa.Kama mama na mawaziri na polisi na USALAMA wameshindwa kuzuia wizi bandarini wangejiuzulu wote.
Kugawa bandari zetu Kwa wajomba HAIKUBALIKI.
Wangejiuzulu kije chama kingine kitachoweza zuia wizi na kuongeza ufanisi.
In other words unamaanisha Zanzibar hakuna wezi ndomana Sa100 hakugusa bandari za huko?
Usikute huyu ni 🕑 💯 😁Ulikuwa muted muda mrefu mpaka watu humu wakaanza kuulizana uko wapi ilibaki kidogo watangaze tanzia ila toka hili sakata la waarabu wenzako (though wewe mweusi kama lami) lianze naona upo nginja nginja jukwaa zima unakata mauno kila siku unatoa post mpya kuwasifia.
Umepewa bei gani maana juhudi hizi siyo za mtu aliyekuwa hajalipwa.
Siyo miaka 100 tu, ni wa milele!Hakuna mkataba wa miaka 100 watu wamezusha tu.
Tatizo siyi hela, tatizo ni nani anafanya nini, aka, utaalam.
Waziri mhusika alipoulizwa kuhusu muda wa huo Mkataba alikri kimafumbo kuwa ni wa MILELE..Hakuna mkataba wa miaka 100 watu wamezusha tu.
Ukubwa wa eneo haimaanish ndio ukubwa wa kazi wewe. Kuna bandar zipo bize mara 100 zaid ya Dubai na hawana eneo kubwa. Ni kama pale nsalaala Oman. Ninachokuambia Mimi cpingi huo uwekezaji Lakin terms na condition zao ni kama huo upande wa ulijiandikia mkataba bila upande wa kwetu. Kuendesha bandar kama ya Dar unaweza kuajiri hata wataalamu 20 na ukampa bahressa anaiendesha. Dubai ile unayoijua ilianza kwa kuajiri watu kutoka nje haikujengwa na wenyeji ila hapa maccm yanauza tu haitaki kuleta wataalamu washirikiane na wenyeji kuisaidia nchi.Kwa kukujuza tu, ukubwa wa eneo ls bandari ya Jebel Ali ni eka 33,280.153 (acres) bandari ya Amsterdam ni eka 1, 500 (acres.) kws ukubwa huo inamaanisha bandari ya Amsterdam ziwe 22 ndiyo kwa moja tu inayioendeshwa na ndipo kwenye makao makuu ya DP World. Licha ya bandari zaidi ya 60 wanazozihudumia duniani.
Halafu kwanini tuajiri mtaalaam mmoja mmoja wakati DP World tayari wana wataalam zaidi ya laki moja ws kutokea mstsifa zaidi ya 169 duniani
waliobobea kwenye chain nzima ya usafiridhaji na bandari?
Unataka tutatuwe matatizo kwa kurudia makosa yale yale tuliyoyafanya kwa zaidi ya miaka 50?
Labda una miaks 25 ya kuajiriwa kazi bandarini lakini huijuwi unaonesha huijuwi biashara ya bandari.
Au labda ni baharia unaezunguka zunguka ndani ya meli lakini huna ujuzi wa biashara za Kimataifa.
Nakushauri ingia tovuti ys DP World uwajue kabla hujaanza kubishana kibaharia. Maana mabaharia kubishana kwenu ni kutaja majina ya bandari tu.
Mama anaupiga mwingi.