Mbwembwe za DP World, kwa kuanzia tu wanawekeza Dola milioni 500 bandari ya Dar

DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Achana na propaganda za TBC..

Je, Zanzibar hawataki huo MFUMO mzuri??
Sikiliza uchambuzi makini hapa..
👇
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Black Widow umeanza mambo yako tena ya enzi zile. Hizo Million 500 ziko kwenye mkataba upi!!? Au umezipsta wapi!!? Maana kwenye MoU na IGA hatujaona hizo number. Au ndiyo maneno matupu na hadithi za kina Msukuma!!?
 
Huwa sikisii. Jisomee 👇🏾

Jikite kwa DP World na bandari
Si umeuliza kuhusu Zanzibar, nimekujibu wao tauari wana mkataba na kampuni nyingine zamani. Nskakuongezwa la airport.

DP World tutaongelea Tanzania bara na nchi nyingine walizokuwepo, au siyo?
 
Yes wanaweka 500m$ then wanaondoka na bilion 2 kila mwaka , ukiona beberu anaweka 500m$ ujue anaondoka na mara kumi au ishirini, napenda uwekezaji lakini kwa bandari tumepigwa na kulikuwa hakuna sababu ya kuwapa waarabu, tungeamua na tungekuwa na watu wenye akili tungeweza wenyewe hata kwa mikopo na kutumia wataalam wa nje, akili za watu wa fedha kama kina Mwigulu akili zao zimeishia kwenye tozo tuu huku pesa ya uhakika kama bandari, utalii na dhahabu wameachia mabeberu wachote tuu
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Hiyo mifumo inaghalimu shi ngap ambyo sisi kama Nchi tusingeweza!
 
Wewe ni mpu.mbavu! Kwa ni sisi tumeshawekeza kiasi gani mpaka sasa! Juzi tu hapa Hayati Magufuli kaweka hapo Bandarini Tzs Trilioni moja (dola kama 450 milioni), sasa cha ajabu nini kwa DP World kuwekeza hizo pesa!
Waswahili bwana Wanaweza kufi..a kisa tende na nyama za ngamia toka kwa Mwarabu!
Mazuzu sana nyie!
Tathimini ifanyike kwanza tujue Bandari yetu ina thamani gani kwa sasa! Halafu mtuondolee ujinga wenu wa kiswahili hapa,!
 
Hata uwekeze trillion kumi kama hapakuingizii mapato, uwekezaji wako unakuwa na faida gani?
 
Tuliza matak roo we bibi hiyo ni hela ya mboga za majani kwa hiyo bandari.
Uwe unalala kidogo kucharge akili.
 
Huo ni mwanzo tu. Bashraf tu hiyo.

Usisahau tehama inavyotusumbuwa kusomana miaka yote. mwarubaini wanao sasa.
Na hakuna kitakacho ibiwa na vikampuni vya kitapeli vya clearing vitakufa kifo cha kawaida
 
Crane ya mpya ya kisasa ship-to-shore (STS) kuongeza ufanisi bandari ya ina gharimu kati ya US$ 25,000,000 hadi US$ 40,000, 000. Je Tanzania inashindwa kuiboresha bandari zake kwa kuipatia crane za kisasa ?

Waziri Prof. Makame Mbarawa alisema bei hii ni kubwa sana kwa taifa la Tanzania kununua alinukuliwa wakati akielezea moja ya sababu ya DP World kutafutwa kwa udi na uvumba

Hans Liebherr invented the tower crane in 1949. Today, the German-Swiss crane manufacturer builds STS cranes, rail-mounted and rubber tire gantry cranes, reach stackers, mobile harbor cranes, and dockyard cranes.
In 2023, a new Liebherr ship to shore container crane went into service at Patrick Terminals – Brisbane AutoStrad, a state-of-the-art container terminal in Australia.

The crane, which is cabinless, features extensive automation and utilises Liebherr's Remote Operator Station (ROS) for container handling over the vessel and for exception handling. The ROS allows the same level of crane control as an on-board operator but from the comfort of an office-based environment.Sit back and enjoy the short film as we see the Liebherr STS being put through its paces, as it automatically interfaces with the automatic straddle carrier operation on the landside and uses remote control to pick and place containers on the container ship.
 
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.

Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.

Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.

Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.

Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.

Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Bandari ya Zanzibar alikotokea Sa100, haihitaji uwekezaji huo?
 
Back
Top Bottom