Kweli kabisa, Dubai hawana mafuta kama jirani zao, uchuni wao unategemea biashara tu, hawana nchezo na biashara na Mwenyezi Mungu anawabariki hawana longo longo na biashara.Sio kwa bandari za ulaya tu, sasa wameziingilia club za mpira na Manchester united nayo imepitiwa acha mchezo na pesa, wanachotaka wao walichowekeza kilete manufaa sio bla bla
Hawa wana kuja kokomesha upigaji ndio maana wana pigwa vita sanaKweli kabisa, Dubai hawana mafuta kama jirani zao, uchuni wao unategemea biashara tu, hawana nchezo na biashara na Mwenyezi Mungu anawabariki hawana longo longo na biashara.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Umegundua hilo hongera pale bandarini kuna mijizi imejikita sasa wanaogopa ulaji unaponyoka wewe umewahi kuona wapi bandari imejaa vishokaHawa wana kuja kokomesha upigaji ndio maana wana pigwa vita sana
Me mwenyewe unafki naweka pembeni. Naufurahia huu uwekezaji.Niwe mkweli tu mi nawakubali DP World.
Tuache siasa
Huyo sio Mzanzibari, au Mkuranga sikuhizi ipo Zanzibar?Wazinzabar mmekua madalali wa mali za Tanganyika, shame on you.
Hakuna shaka na DP WORLD. cause wanainovate mifumo kuwa efficientNiwe mkweli tu mi nawakubali DP World.
Tuache siasa
Htutaki kama huo.Mkataba uwe kama huu hapa👇Na uhusishe bandari ya Dar na Zanzibar tu.
Kuna Tanzania, jiulize unapate jina Tanzania bila Zanzibar?Wazinzabar mmekua madalali wa mali za Tanganyika, shame on you.
Hizo ni hadithi, tunazungumzia Sasa hivi, kuishi pwani ni choice ya MTU! Acheni kuuza rasilimali za Watanganyika Kwa kigezo Cha kijingaKuna Tanzania, jiulize unapate jina Tanzania bila Zanzibar?
Tena nyie mliingizwa mkenge na Mjerumani kuikata hii nchi, wote mngekuwa mnajivunia Uzanzibari.
Mie kwetu baharini Mkuranga, Boza Beavh au kwa jina lingine Shungubweni. Pwani kabisa. Unafahamu kuwa hata Mjerumani alipoikata hii nchi juu ya mesa, bado pwani yote ikabaki kuwa ni Zanziba, kwa maili 10 yaani Kilomita 16 kwa sasa. Kwa hiyo hata Bandari hiyo kisheria ni Zanzibar. Jionee...
Hizo hela zimeandikwa au kudhihirishwa wapi? Au kwenye ukurasa wa ngapi kwenye IGA?DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo utawezesha kung'amua mizigo imepakiwa wapi, saa ngapi, ipo wapi na lini itafika bandari ya Dar. Pia mteja mwenye mzigo ataweza kuufatilia mzigo wske toka anspoukabidhi kusafirishwa, ulipo na mpaka unamfikia.
Ni mabadiliko makubwa sana na ya jisasa ya kiuendeshaji wa kazi za bandari na tuliyonayo sasa.
Mfumo huo zautaweza kuibua mapungufu ya idara zote zingine zinazozembea.
Mfumo utakuwa na "hot backups" wakati wote, Inamaanisha tusahau bandarini kuambiwa mtandao haufanyi kazi.
Mama anaupiga mwingi kweli kweli.
Bila ya kuingia kwenye vifungu vya makubaliano, nukuwekea hapa ukurasa wa mbele kabisa wa makubaliano utuambie umekielewa nini:Hizo hela zimeandikwa au kudhihirishwa wapi? Au kwenye ukurasa wa ngapi kwenye IGA?
Weka hapa hata kipengele cha mkataba