Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Sehem kubwa ya ukonga haijapimwa. Unataka serikali iingie gharama ya kuvunja nyumba za watu mje kulalamika hapa kuwa mnaonewa. Anzeni kuvunja nyumba zenu tengeni sehem ya barabara alafu iteni serikali muone kama hamtajengewa lami.kaka nenda jimbo la ukonga ndio utaona maajabu ya dunia, wakati sehemu nyingine wanang'oa lami na kuweka nyingine, huko hata vifusi haviwekwi,kipindi cha mvua watu wanatamani kutorejea majumbani! hi keki ingegawanywa hata wapate "karobo" hao wakubwa wachukue robo tatu ila sio kulamba asali yote🙆♂
Obay yenyewe bado kuna barabara ziko ovyo..mfano ile haile selasie Road nkInawezekana ndio wanatengeneza eneo la wazito kama ilivyo Oysterbay na Masaki, lazima ujenzi wake ufanyike kwa haraka ndio maana unashangaa.
Huko Mbezi kwenu unapotaka patengenezwe hakuna tofauti na maeneo mengine ambayo yamesahaulika nchi hii, au yanaendelezwa taratibu.
Jibu zuri umempaSehem kubwa ya ukonga haijapimwa. Unataka serikali iingie gharama ya kuvunja nyumba za watu mje kulalamika hapa kuwa mnaonewa. Anzeni kuvunja nyumba zenu tengeni sehem ya barabara alafu iteni serikali muone kama hamtajengewa lami.
Ccm mtajuana wenyewe wapinzani wametucherewasha sannaaa ndugu zangu tuenderee kuchapa kazii....Majuzi nimepita Mbweni nikashangaa kabisa.
Barabara nyingi zilizokuwa hazipitiki sasa ni lami tupu.
Najua huu ni mkakati wa viongozi wengi kujipendelea maana wengi wamejenga huko.
Nimepeta tetesi kuwa hata kwa Katinu mkuu Kiongozi, watu wameamriwa barabara iendayo kwake iwekwe lami.
Tofauti na Mbweni, huku Mbezi Beach barabara za kwenda makazi ya watu hazijashughulikiwa kabisa.
Barabara za NSSF Flats
Barabara za Jogoo Cotex
B arabara za Mbezi Tangi Bovu
Barabara ya Mbezi 5 Star
Barabara ya Ndumbwi-Baraza la Mitihani
Barabara za chini Kwa Lukuvi
Ila barabara ya kwenda kwa Kikwete Kawe Beach ilikengwa chap chap!
Huu upundeleo dhahiri wa viongozi kujinufaisha!
Mbweni boko bunju ununio panatakiwa pawe pazuri muno kwa kuwa ni uwanda wa wastaarabu. Sasa huko changanikeni watu wanataka paganini Paris.?Sisi wakazi wa Mbweni tunasema kazi iendelee.....
Kwani hujui nani ana makazi yake Mbweni? Kujipendekeza hakuishi Tz hii,mwenyewe hata habari hana watu wanahangaika!Majuzi nimepita Mbweni nikashangaa kabisa.
Barabara nyingi zilizokuwa hazipitiki sasa ni lami tupu.
Najua huu ni mkakati wa viongozi wengi kujipendelea maana wengi wamejenga huko.
Nimepeta tetesi kuwa hata kwa Katinu mkuu Kiongozi, watu wameamriwa barabara iendayo kwake iwekwe lami.
Tofauti na Mbweni, huku Mbezi Beach barabara za kwenda makazi ya watu hazijashughulikiwa kabisa.
Barabara za NSSF Flats
Barabara za Jogoo Cotex
B arabara za Mbezi Tangi Bovu
Barabara ya Mbezi 5 Star
Barabara ya Ndumbwi-Baraza la Mitihani
Barabara za chini Kwa Lukuvi
Ila barabara ya kwenda kwa Kikwete Kawe Beach ilikengwa chap chap!
Huu upundeleo dhahiri wa viongozi kujinufaisha!
Ukonga kule nadhani tumelaaniwa maana hatukumbukwi kabisa. Zile siyo barabara kabisa. Nashangaa Segerea kila siku watu wanang'oa lami na kubandika nyingine.Kaka nenda jimbo la ukonga ndio utaona maajabu ya dunia, wakati sehemu nyingine wanang'oa lami na kuweka nyingine, huko hata vifusi haviwekwi,kipindi cha mvua watu wanatamani kutorejea majumbani! hi keki ingegawanywa hata wapate "karobo" hao wakubwa wachukue robo tatu ila sio kulamba asali yote🙆♂
Kisingizio Cha kijinga. Mwisho utakuja dai "chato ilikuwa inajengwa kwa nguvu zote kwa kuwa mikoa mingine haijapimwa".Sehem kubwa ya ukonga haijapimwa. Unataka serikali iingie gharama ya kuvunja nyumba za watu mje kulalamika hapa kuwa mnaonewa. Anzeni kuvunja nyumba zenu tengeni sehem ya barabara alafu iteni serikali muone kama hamtajengewa lami.