mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mbezi beach mitaa mingine haingiliki haitoki, labda wabomoe sehemuKwa uelewa uliopo kwmaba miaka ya magu kulikujaga mafuriko huko mbweni kule shule ya DIS. JPM akaomba mkopo nafikiri na wahisani walisema watachangia ujenzi wa miundombinu hasa mifereji na barabara.
Mbweni JKT wenye viwanja kule wamaembiwa kabisa lazima wajenge Ghorofa hakuna nyumba ya chini. Matumizi bora ya ardhi. Hata hivyo sehemu moja unakuta hapa Hangaya, pale Katibu Mkuu, pale former Canadian Ambassador Zoka, pale Likwelile, pale marehemu Hans pope bilionea wa simba, majenerali wastaafu ndio kama wote mbweni kweli hawa ni vigogo lazima Tarura yenyewe iweke lami.
Mbweni watu wanalala milango wazi hakuna kibaka.
Ila.mbezi beach ingependeza sana ingepigwa lami na.mifereji wenyeji wa huko wana msemo kwamba mwendazake angelikuwepo wangekuwa wanakanyaga lami sasa hivi.
Ova