Unafikiri lami zitapigwa mitaa yoteBaada ya kupokea kiinua mgongo cha buku saba zangu nampango wa kuhamia mbweni.
Hivyo acha wafanye maandalizi kwanza, wakimaliza tu nitahamia.
Wewe kweli kukumdogo na ndio maana uwezo wako wa kufikiri ni mdogo pia!Sehem kubwa ya ukonga haijapimwa. Unataka serikali iingie gharama ya kuvunja nyumba za watu mje kulalamika hapa kuwa mnaonewa. Anzeni kuvunja nyumba zenu tengeni sehem ya barabara alafu iteni serikali muone kama hamtajengewa lami.
Usisahau kuwa Mbweni ni kwa Hangaya mkuu, Hangaya amefumua bonge la mjengoMajuzi nimepita Mbweni nikashangaa kabisa.
Barabara nyingi zilizokuwa hazipitiki sasa ni lami tupu.
Najua huu ni mkakati wa viongozi wengi kujipendelea maana wengi wamejenga huko.
Nimepeta tetesi kuwa hata kwa Katinu mkuu Kiongozi, watu wameamriwa barabara iendayo kwake iwekwe lami.
Tofauti na Mbweni, huku Mbezi Beach barabara za kwenda makazi ya watu hazijashughulikiwa kabisa.
Barabara za NSSF Flats
Barabara za Jogoo Cotex
B arabara za Mbezi Tangi Bovu
Barabara ya Mbezi 5 Star
Barabara ya Ndumbwi-Baraza la Mitihani
Barabara za chini Kwa Lukuvi
Ila barabara ya kwenda kwa Kikwete Kawe Beach ilikengwa chap chap!
Huu upundeleo dhahiri wa viongozi kujinufaisha!
Jibu sahihi kabisa mkuu.Bado mbweni kuna viwanja mkuu, unanunua tu na kujenga huko.
Sio kila mtu ana ubavu kunua uwanja mkuu.Bado mbweni kuna viwanja mkuu, unanunua tu na kujenga huko.
Sema Mbweni kuna HangayaMbweni kuna viongozi huko Mbezi kuna akina mangi tu
Cha ajabu Mimi nimetokea kupachukia sana mbweni. Yaani sipapendi hata kidogo. Hasa kipindi cha MVUA. japo hata majira ya kiangazi Mbweni hovyoo sana, sijui ni kwanini wakubwa na watu kwenye hela wanapapenda sana Mbweni.Acha Mbweni ijengwe sana. Kule ndio kioo cha nchi. Tena wanatakiwa kuweka lami kila mtaa. Watu wa kule wamestaarabika sana kulinganisha na sehem zingine. Wanastahili kuwekewa lami na taa za barabarani.
Kwa hiyo barabara ya bann-kitunda-msongola, au kitunda-magole/mwanagati,pugu majohe,mombasa kwa diwani-bombambili etc zinahitaji kuvunjwa nyumba?-nenda temeke uone mpaka vichochoro vina lami.Sehem kubwa ya ukonga haijapimwa. Unataka serikali iingie gharama ya kuvunja nyumba za watu mje kulalamika hapa kuwa mnaonewa. Anzeni kuvunja nyumba zenu tengeni sehem ya barabara alafu iteni serikali muone kama hamtajengewa lami.
ipo kwenye manunuzi mwaka huu wa fedha inarudiwa yote kama ile ya kuanzia coco-sea cliff - makutano ya haile selasie, itaanzia hapo makutano mpaka mataa ya st.peters dahObay yenyewe bado kuna barabara ziko ovyo..mfano ile haile selasie Road nk
Ova
Haile selassie ni mbovu sehemu walizoruhusu uswahili. Kile kipande chenye bar na vidukaduka kama sinza, kuanzia Puma mpaka kilima nyege ndio kubovu na kuchafu sana.Obay yenyewe bado kuna barabara ziko ovyo..mfano ile haile selasie Road nk
Ova
Kweli kabisa, lakini ninacho shangaa ni kwa nini hawatengenezi barabara zinazopitia Mbezi.Kwani hujui nani ana makazi yake Mbweni? Kujipendekeza haukishi Tz hii,mwenyewe hata habari hana watu wanahangaika!
Kwa hiyo ubaguzi sasa ni rasmi serikali ya Hangaya?Mbweni kuna viongozi huko Mbezi kuna akina mangi tu
Halafu cha ajabu Mimi
Cha ajabu Mimi nimetokea kupachukia sana mbweni. Yaani sipapendi hata kidogo. Hasa kipindi cha MVUA. japo hata majira ya kiangazi Mbweni hovyoo sana, sijui ni kwanini wakubwa na watu kwenye hela wanapapenda sana Mbweni.
Kwa Dar sehemu ninayoipenda ni GOBA tu hata kama maji ni changamoto
Hii Awamu ni ya kujipendelea na wabinafsi sana.Mbweni sehemu salama. Moja liko karibu na kambi za jeshi. Na eneo la mbweni jkt ambalo ndio hot cake lilikua eneo la jeshi wakauziwa viongozi wa kiserikali miaka iyo. Likasaidia kujengwa vizuri maana pesa walikua nazo
Kweli mbweni kipindi cha mvua ilikua inasumbua sana sababu ya kukosa mitaro ya maji. Ila sasa ujenzi wa hizi barabara utasaidia maji yote kushuka chini baharini kule.
Mbweni sahivi inafumuliwa yote na kuwekewa mifumo mipya ya maji. Wanaondoa ya zamani
Mbweni kuzuri anzia jkt kambini panda hadi makutano ya barabara ya kwenda mbweni kwa waswahili
Kuna kipindi nilirudi likizo nikawa naangalia barabara ilivyoharibika pale Oysterbay Primary, nikasema hapa Oysterbay pako hivi!Obay yenyewe bado kuna barabara ziko ovyo..mfano ile haile selasie Road nk
Ova
Ndio Sera ya CCM hio, hata Chato kijijini kwa Magu kilijengwa kiwanja Cha ndege cha kimataifa.Kwa hiyo ubaguzi sasa ni rasmi serikali ya Hangaya?