Mbweni inapendelewa ujenzi wa barabara, Mbezi kwa miaka nenda rudi barabara hazijengwi

Katibu Mkuu Kiongozi hakuna lami iendayo kwake zaidi ya barabara kuu inayoenda kwa Samia. Kutoka barabara kuu hadi nyumbani kwake ni vumbi/matope. Ni jirani na ninapooshi.
 
Katibu Mkuu Kiongozi hakuna lami iendayo kwake zaidi ya barabara kuu inayoenda kwa Samia. Kutoka barabara kuu hadi nyumbani kwake ni vumbi/matope. Ni jirani na ninapooshi.
Ndogondogo tunazipata, inakuja soon.
Si vimemo tu!
 
Mama anamiliki nyumba huko mkuu.
 
Umetaja viongozi na ukamtaja katibu mkuu kiongozi,
Kwani huoni tofauti yako na viongozi?
Unataka barabara zao zisipitike na ving'ora?
 
Mama anamiliki nyumba huko mkuu.
Sawa!
Kwa hiyo ruksa Mbezi kunyanyapaliwa?
Umetaja viongozi na ukamtaja katibu mkuu kiongozi,
Kwani huoni tofauti yako na viongozi?
Unataka barabara zao zisipitike na ving'ora?
Kiongozi mkuu kabisa Baba wa Taifa hakuwa na ubinafsi.
Kwake Butiama barabara ya lami imejengwa baada ya kufariki.
Awamu hizi ubinafsi ni sera.
 
Sehem kubwa ya ukonga haijapimwa. Unataka serikali iingie gharama ya kuvunja nyumba za watu mje kulalamika hapa kuwa mnaonewa. Anzeni kuvunja nyumba zenu tengeni sehem ya barabara alafu iteni serikali muone kama hamtajengewa lami.
Swala la kupima ni la muhumu,ila mbona kuna maeneo ukipita Magomeni,Mwananyamala na hata Kinondoni hayajapimwa lakini yana lami...!
 
Mbona barabara nyingi za masaki na oysterbay yaan actually kata ya msasani yote...barabara ni mbovu mbovu lami zimekatikakatika hakuna mitaro yaan uchafu mtupu...
Bado tanesco sasa na ile miwaya yao..
 
Sawa!
Kwa hiyo ruksa Mbezi kunyanyapaliwa?
Kiongozi mkuu kabisa Baba wa Taifa hakuwa na ubinafsi.
Kwake Butiama barabara ya kami imejengwa baada ya kufariki.
Awamu hizi ubinafsi ni sera.
Nadhan umeichukulia comment yangu out of context,
 
Haile selassie ni mbovu sehemu walizoruhusu uswahili. Kile kipande chenye bar na vidukaduka kama sinza, kuanzia Puma mpaka kilima nyege ndio kubovu na kuchafu sana.
Mimi bado obay na masaki barabara bado ziko ovyo....zinapitwa hata na tandale na sinza

Ova
 
Kweli kabisa, lakini ninacho shangaa ni kwa nini hawatengenezi barabara zinazopitia Mbezi.
Old na New Bagamoyo road zinazopitia Mbezi zimejaa kabisa wakati wa rush-hour.
Mbezi watengeneze mitaa ipi
Mko tayari kuvunjiwa nyumba,uzio
Mitaa yenyewe bado haijanyooka

Ova
 
Swala la kupima ni la muhumu,ila mbona kuna maeneo ukipita Magomeni,Mwananyamala na hata Kinondoni hayajapimwa lakini yana lami...!
Eneo lipi mwananyamala, kino limewekewa lami hajapimwa

Ila watu walivunjiwa ujue, lami usifikiri itajengwa tu

Ova
 
Mbona barabara nyingi za masaki na oysterbay yaan actually kata ya msasani yote...barabara ni mbovu mbovu lami zimekatikakatika hakuna mitaro yaan uchafu mtupu...
Bado tanesco sasa na ile miwaya yao..
Ndiyo nasema huko hakuna barabara

Ova
 
Kwa uelewa uliopo kwmaba miaka ya magu kulikujaga mafuriko huko mbweni kule shule ya DIS. JPM akaomba mkopo nafikiri na wahisani walisema watachangia ujenzi wa miundombinu hasa mifereji na barabara.

Mbweni JKT wenye viwanja kule wamaembiwa kabisa lazima wajenge Ghorofa hakuna nyumba ya chini. Matumizi bora ya ardhi. Hata hivyo sehemu moja unakuta hapa Hangaya, pale Katibu Mkuu, pale former Canadian Ambassador Zoka, pale Likwelile, pale marehemu Hans pope bilionea wa simba, majenerali wastaafu ndio kama wote mbweni kweli hawa ni vigogo lazima Tarura yenyewe iweke lami.

Mbweni watu wanalala milango wazi hakuna kibaka.

Ila.mbezi beach ingependeza sana ingepigwa lami na.mifereji wenyeji wa huko wana msemo kwamba mwendazake angelikuwepo wangekuwa wanakanyaga lami sasa hivi.
 
Wapinzani wana tucheleweshea sana maendelwo ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…