Mbweni inapendelewa ujenzi wa barabara, Mbezi kwa miaka nenda rudi barabara hazijengwi

Mbezi beach mitaa mingine haingiliki haitoki, labda wabomoe sehemu

Ova
 
Mbezi watengeneze mitaa ipi
Mko tayari kuvunjiwa nyumba,uzio
Mitaa yenyewe bado haijanyooka

Ova
Hilo si tatizo, mbona Temeke, Kijichi na kwingineko imewezekana.
Watu wanaendeleza ubaguzi sasa kwa visingizio.
 
Mbezi beach mitaa mingine haingiliki haitoki, labda wabomoe sehemu

Ova
Na katika kitu Halmashauri ya jiji upande wa mainjinia wa ujenzi wamelala ni kuisafisha mbezi beach na jiji kwa ujumla.

Kuna watu kwa makusudi kabisa wanajenga nje ya mipaka ya viwanja vyao wengine wanaziba njia lakini jiji halichukui hatua ya kuwabomolea. Kwa mfano kuna kigogo mmoja wa makaunda suti pale bahari beach njia panda ya kwenda tegeta nyuki anajenga nyumba za kupangisha appartment nje kabisa ya mawe ya kiwanja yaani kazidisha kiwanja mpaka road reserve kaimaliza wahusika wapo na wanafanyaga doria lakini naona wanamuogopa mmiliki.

Pale Jogoo kuna mwingine kuelekea kanisa la TAG besides Art Gallery huyu alishapigiwa X lakini habomoi na amaefinya mtaa mzima.
 
Picha ya lami iko wapi wewe?
 
Mbunge wenu liyeahidi kuwapeleka Birmingham, Marekani anasemaje?
 
Nchi hii kuna ujinga mwingi sana pale Tembon kuna lami ilijengwa ikaishia mlangoni kwa boss wa Tanroads

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
 
Hilo si tatizo, mbona Temeke, Kijichi na kwingineko imewezekana.
Watu wanaendeleza ubaguzi sasa kwa visingizio.
Temeke, Mino, Magomeni mitaa kongwe
Ilijengwa kwa ramani, mitaa inaingia na inatoka
Ukisema upige Mbezi Beach yote lami hiyo haiwezekani hata mbweni yenyewe haiwezekani

Ova
 
Serikali iruhusu tu watu binafsi wajipigie lami makwao

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…