Mbwiga Wa Mbwiguke wa Clouds FM amehamia Times FM

Mbwiga Wa Mbwiguke wa Clouds FM amehamia Times FM

humility21

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2021
Posts
448
Reaction score
622
Wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM.

Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi vya michezo katika kituo cha Clouds FM litaonekana?

Kwasababu Mbwiga amekuwa ni mchekesheji sana kupelekea kuleta mvuto wa vipindi kwa wasikilizaji.

maxresdefault.jpg

 
Kipindi cha michezo Clouds kipo kabla ya Mbwiga na kilikuwa kizuri tu...

Alichoonheza Mbwiga ni uzaeamo tu ambao haukuwa na tija yoyote...maana ukitaka vichekesho wakina Joti wapo
Leo yamekuwa hayo ......umemsahau mapema sana
 
wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM.
Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi vya michezo katika kituo cha Clouds FM litaonekana?
kwasababu Mbwiga amekuwa ni mchekesheji sana kupelekea kuleta mvuto wa vipindi kwa wasikilizaji.
Humility21: koma kabisa hakuna Tanzania mtangazaji anaitwa Mbwiga Wa Mbwiguke sema mpiga makelele wa Redio Clouds. Huyo mjinga hata kusoma tu hajui ndio unasema mtangazaji ebu jaribuni kuheshimu taaluma za watu.
 
Back
Top Bottom