Mbwiga Wa Mbwiguke wa Clouds FM amehamia Times FM

Mbwiga Wa Mbwiguke wa Clouds FM amehamia Times FM

Wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM.

Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi vya michezo katika kituo cha Clouds FM litaonekana?

Kwasababu Mbwiga amekuwa ni mchekesheji sana kupelekea kuleta mvuto wa vipindi kwa wasikilizaji.
Clouds kwa sasa hawana issue.
 
Ruge was genius hata kama hakulipi utafanya kazi...tena utaifanya kama vile kazi ya babako....one in million.....aliyeweza kuishi na kina diva ,kina b12 ngoja tujionee rip jasiri muongoza njia.
 
Back
Top Bottom