Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Clouds ( au tuseme media nyingi ) watangazaji wake hawana mikataba.Clouds ni kama sinking ship..
Mara nyingi ni aidha utafute namna ya kujilipa mwenyewe kwa kufanya mishe za pembeni ( ambazo hasa kwa Clouds ) walikuwa wanatoa platform ya wewe kuitangaza bure au walikuwa wanaishi kwa posho posho za kupewa mezani ( hizi posho za mezani nimewahi kumsikia Jembenijembe akisema wakati anaanzisha Njiapanda alikuwa anapewa kabla ya kumilikisha hicho kipindi mwenyewe )
Sasa inavyoonekana hapo Clouds hizi posho siku hizi hazitoki.
So, Mtu hawezi kufanya kazi bure wakati ana majukumu.