Mbwiga Wa Mbwiguke wa Clouds FM amehamia Times FM

Mbwiga Wa Mbwiguke wa Clouds FM amehamia Times FM

Wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM.

Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi vya michezo katika kituo cha Clouds FM litaonekana?

Kwasababu Mbwiga amekuwa ni mchekesheji sana kupelekea kuleta mvuto wa vipindi kwa wasikilizaji.
Brzaa unakosea Sana et mtangazaji maarufu kwa lipi haswa mtu mm nilikuwa nikisikiliza kipind lao ikifika muda was kuongeaa nafunga station manake cjaona anachojadili chenye tija Wala hanifuraishi
 
Wachache wanabaki Clouds kwa sababu ya kukosa tu confidence na imani mfu kwamba Clouds ndio kila kitu mjini lakini kiuhalisia Clouds ndio Mtemba unazama.
Watangazaji wa Clouds waondoke waende Media gani nyingine ambayo inafanya vizuri financially?..Uhuru FM au?

Na kuhama unadhani unajiamulia tu kuwa sasa niondoke niende kolombezwo fm bila ya wao kukuhitaji?
 
Clouds ni kubwa kuliko Times,kwahiyo ni kama kurudi nyuma ila inategemea kama maslai ya Times iwapo ni makubwa kuliko aliyokuwa anapata akiwa Clouds
Mkuu kusonga mbele ni maslahi tu mkuu hakuna kingine hasa ukiwa umeshafanya kazi kwa miaka kadhaa kwenye tasnia husika,,
Unapopata maslahi mazuri ndo penyewe apo mkuu haijalishi ni kampuni kubwa Sana ya Kati au inaonekana kua ndogo kwenye macho ya watu.
 
Toka corona ianze Clouds nao wamekuwa na liquidity issues ambayo imelazimu kupunguza baadhi ya wafanyakazi, so unaweza kuta hilo ndilo lililomtoa jamaa.
 
Watangazaji wa Clouds waondoke waende Media gani nyingine ambayo inafanya vizuri financially?..Uhuru FM au?

Na kuhama unadhani unajiamulia tu kuwa sasa niondoke niende kolombezwo fm bila ya wao kukuhitaji?
Unaweza kuwa right or wrong sababu hata hapo Clouds Mishahara mbuzi tuu
 
Wameamua kuwapiga chini riff raff wote waliokuwa wakijaza payroll yao kwa kazi bure ya roles as sidekicks.
Duuh, kumbe?..

Wengine wanajifanya wameacha kazi wenyewe kumbe wamepunguzwa
 
Wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM.

Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi vya michezo katika kituo cha Clouds FM litaonekana?

Kwasababu Mbwiga amekuwa ni mchekesheji sana kupelekea kuleta mvuto wa vipindi kwa wasikilizaji.
Kwanza afadhari kaondoka aisee Mana kila ilipokua inafika zamu yakwe kipindi cha michezo nilikua nazima kiredio changu Mana simuelewagi huyo mzeee
 
Aah mwanangu mwenyewee mbwiga wa mbigukwe toto la kizaramoo
 
Hamna haman ndipo paliwapwo,mkora wa nyani kibwaya mkia , labda kafata umate umate mix marosoro na masotojo.
 
Mkuu kusonga mbele ni maslahi tu mkuu hakuna kingine hasa ukiwa umeshafanya kazi kwa miaka kadhaa kwenye tasnia husika,,
Unapopata maslahi mazuri ndo penyewe apo mkuu haijalishi ni kampuni kubwa Sana ya Kati au inaonekana kua ndogo kwenye macho ya watu.
kuwa meneja EQUITY BANK ni bora kulko kuwa bank teller crdb.
 
Mbwiga sio mtangazaji by proffesional na hata pale Clouds kwenye kipindi cha Sports Extra siku zote alikua kama mualikwa kwa ajili ya kutoa visa vya vya wachezaji wa zamani ambavyo hakina aliviishi. anakumbukumbu navyo na anakipaji kikubwa sana cha kuviwasilisha katika lugha ya kuchekesha na kuburudisha

Tukumbuke kua jamaa huyu katuletea misamiati mingi kwenye soka. Kampa kampa tena, udambwi dambwi, figisufigisu, mbavu ya kulia na kushoto, kiungo muongo muongo, na mengine mengi ni maneno yanayotumika hadi sasa na kayaibua Mbwiga

Kipaji chake cha kuongea na urafiki wake na Jose ulimpa fursa(na sio ajira kamili) ya kujulikana katika ulimwengu wa soka hapa nchini huku akipata posho kwa kuonyesha kipaji chake na hata kusafiri sana ndani na nje ya nchi bila kujali anakiwango gani cha elimu

Nadhani ni vema marafiki zake wanaomtakia mema wamshauri huko alipoenda kwamba ajikite kwenye majukumu yake aliyopewa hapo na aachane kabisa na kuponda kule alipotoka bila kujali sababu yoyote ile iwayo iliyomfanya atoke Clouds hata kama anahisi alionewa, maana kuna leo na kesho
Well said
 
Back
Top Bottom