Mbwiga Wa Mbwiguke wa Clouds FM amehamia Times FM

humility21: koma kabisa hakuna Tanzania mtangazaji anaitwa Mbwiga Wa Mbwiguke sema mpiga makelele wa Redio Clouds. Huyo mjinga hata kusoma tu hajui ndio unasema mtangazaji ebu jaribuni kuheshimu taaluma za watu.
Inawezekana kweli mjinga kama unavyosema na haja soma kweli na anapiga makelele....hayo ni ya kwako. Mie ule udambwi udambwi wake ndio nilikua nautaka sana kuliko hao wachambuzi wenu wasio fanya homework ya nini wanaenda kuongea kabla ya kipindi.

Leo walikua wanamuhoji bondia atakae pigana na Mwakinyo this week, jamaa anamuumiza eti "do you think you will win??"...upumbavu gani huo, unategemea atajibu hapana?? Sasa amekuja bongo kufanya nini?? Alafu wanafurahia kuongea kingreza badala ya kufanya mahojiano ya msingi kuhusiana na pambano na boxing kwa ujumla.

Walau Prisca Kishamba anajitambua kuliko kenge zilizobakia.
 
Dhahiri shahiri hao watu unabifu nao,maswali yote waliouliza ni ya kimichezo ambayo mtangazaji yeyote ambaye ni professional angeyauliza.
 
Inawezekana kweli mjinga kama unavyosema na haja soma kweli na anapiga makelele....hayo ni ya kwako. Mie ule udambwi udambwi wake ndio nilikua nautaka sana kuliko hao wachambuzi wenu wasio fanya homework ya nini wanaenda kuongea kabla ya kipindi.

Leo walikua wanamuhoji bondia atakae pigana na Mwakinyo this week, jamaa anamuumiza eti "do you think you will win??"...upumbavu gani huo, unategemea atajibu hapana?? Sasa amekuja bongo kufanya nini?? Alafu wanafurahia kuongea kingreza badala ya kufanya mahojiano ya msingi kuhusiana na pambano na boxing kwa ujumla.

Walau Prisca Kishamba anajitambua kuliko kenge zilizobakia.
Mbwiga sio mtangazaji. Makosa ya kiingereza yapo sana.
 
Mbwiga mbwiguke eeeeeeh.

1)Unatema mate julia ,unafukia kushoto

2) forward hatari,sio arugwa arugwa. Ndioo,mmoja kwa wawili goli.
Hapo ana maana forward anatakiwa akibaki na beki wawili basi aweze kufunga.

Mimi nilikuwa nazuga zuga kusubiria zile dkk zake mwisho wa kipindi akielezea vihendo vya zamani.
Mbwiga Mbwiguke eeeeehh. Mbavu ya kulia Sijui Nani Nani huko.
 
Joti hawezi kufanya anachokifanya mbwiga abadan wa asilani. Wala mbwiga hawez kufanya anachokifanya joti.
Nadhani umewahi sana kuni quote pasipo kunielewa...

Ndio ni watu wawili tofauti, isipokuwa hapo juu nilimaanisha kuwa Mbwiga hakuwa na umuhimu wowote ndani ya Sports Xtra isipokuwa kwa watu waliokuwa wakitaka kucheka cheka
 
wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM.
Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi vya michezo katika kituo cha Clouds FM litaonekana?
kwasababu Mbwiga amekuwa ni mchekesheji sana kupelekea kuleta mvuto wa vipindi kwa wasikilizaji.
Sijawahi ona umuhimu wake ktk vipindi vya michezo.
 
wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM.
Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi vya michezo katika kituo cha Clouds FM litaonekana?
kwasababu Mbwiga amekuwa ni mchekesheji sana kupelekea kuleta mvuto wa vipindi kwa wasikilizaji.
Uamuzi ni wake,lakini hawezi kuiua clouds fm
 
Back
Top Bottom