Clouds ( au tuseme media nyingi ) watangazaji wake hawana mikataba.Clouds ni kama sinking ship..
Tatizo la ile ni biashara ya kifamiliaClouds ni kama sinking ship..
Kuna ujinga mkubwa sana nchi hii. Kuna akina Swebe nao watangazaji. Hakuna tasnia inadharauliwa km hii.Tuwe serious. Hivi Mbwiga au Diva ni watangazaji?
Hii fani imevamiwa na wahuni wa kila aina hadi Mwijaku na Babalevo nao watangazji.
Kikubwa watoto wao waende chooni mkuu hata ww unaweza kua sasa hivi unafanya kaz ambayo hukuisomea sasa inapopatikana frusa lazma uitumie Mwinjaku na fundi majumba Baba levo wametumia frusaTuwe serious. Hivi Mbwiga au Diva ni watangazaji?
Hii fani imevamiwa na wahuni wa kila aina hadi Mwijaku na Babalevo nao watangazji.
Mkuu ni Kwa sisi tuliopo jijini tu, huko mikoani bado radio one na ITV vinatamba sana.Hilo hawalioni kama Radio one walivyokuwa hawaoni hadi wamepitwa na viredio uchwara sasa.
Ushauri mzuri sana huu!Mbwiga sio mtangazaji by proffesional na hata pale Clouds kwenye kipindi cha Sports Extra siku zote alikua kama mualikwa kwa ajili ya kutoa visa vya vya wachezaji wa zamani ambavyo hakina aliviishi. anakumbukumbu navyo na anakipaji kikubwa sana cha kuviwasilisha katika lugha ya kuchekesha na kuburudisha
Tukumbuke kua jamaa huyu katuletea misamiati mingi kwenye soka. Kampa kampa tena, udambwi dambwi, figisufigisu, mbavu ya kulia na kushoto, kiungo muongo muongo, na mengine mengi ni maneno yanayotumika hadi sasa na kayaibua Mbwiga
Kipaji chake cha kuongea na urafiki wake na Jose ulimpa fursa(na sio ajira kamili) ya kujulikana katika ulimwengu wa soka hapa nchini huku akipata posho kwa kuonyesha kipaji chake na hata kusafiri sana ndani na nje ya nchi bila kujali anakiwango gani cha elimu
Nadhani ni vema marafiki zake wanaomtakia mema wamshauri huko alipoenda kwamba ajikite kwenye majukumu yake aliyopewa hapo na aachane kabisa na kuponda kule alipotoka bila kujali sababu yoyote ile iwayo iliyomfanya atoke Clouds hata kama anahisi alionewa, maana kuna leo na kesho
Walisoma wote wapi,sema walikuwa wote shule ya msingi forodhan.kusoma nikuanzia ngazi ya chuoKusaga walisoma wote basi bado anamuheshimu.
Hata shafii dauda hajasomea,wale ni wachambuzi,washereheshaji.anchor ndio anatakiwa kusomeaKwanza amesomea journalism/mass communication ?
Ashukuru kwa nafasi aliyo ipata huko clouds fm
Jamaa ananyea kambi ๐๐๐ binafsi sijawahi ona umhimu wa mbwiga wa mbwiguke pale clouds zaidi ya makelele Tu ya kizaramoMbwiga bn..anakuambia Bora sasa hivi yupo Times FM maana kule alikokuwa eti alikuwa anafanya kazi usiku tu km mjenga madaraja ahahaha
Wachache wanabaki Clouds kwa sababu ya kukosa tu confidence na imani mfu kwamba Clouds ndio kila kitu mjini lakini kiuhalisia Clouds ndio Mtemba unazama.Clouds ni kama sinking ship..
Ivi kutoka clouds FM kwenda Times FM hayo Ni maendeleo Kama kusogea step kadhaa mbele au nikurudi nyumaa hatua kadhaa Kama Mwandishi wa habari?Wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM.
Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi vya michezo katika kituo cha Clouds FM litaonekana?
Kwasababu Mbwiga amekuwa ni mchekesheji sana kupelekea kuleta mvuto wa vipindi kwa wasikilizaji.
Clouds ni kubwa kuliko Times,kwahiyo ni kama kurudi nyuma ila inategemea kama maslai ya Times iwapo ni makubwa kuliko aliyokuwa anapata akiwa CloudsIvi kutoka clouds FM kwenda Times FM hayo Ni maendeleo Kama kusogea step kadhaa mbele au nikurudi nyumaa hatua kadhaa Kama Mwandishi wa habari?
Kuna siku nilikutana nae kwenye daladala ya kawe kapanda na mshikaji wake,anaongea kishenziJamaa ananyea kambi ๐๐๐ binafsi sijawahi ona umhimu wa mbwiga wa mbwiguke pale clouds zaidi ya makelele Tu ya kizaramo
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah lolMbwiga bn..anakuambia Bora sasa hivi yupo Times FM maana kule alikokuwa eti alikuwa anafanya kazi usiku tu km mjenga madaraja ahahaha
green pasture.Wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM.
Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi vya michezo katika kituo cha Clouds FM litaonekana?
Kwasababu Mbwiga amekuwa ni mchekesheji sana kupelekea kuleta mvuto wa vipindi kwa wasikilizaji.