Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Hao ni special caseMbona viongozi na wanasiasa wanapigwa spana mitandaoni hawajaachia ngazi kuogopa comment za wapiga spana?
Ndio maana wanatuibia maokoto ili wajipoze 😏😏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ni special caseMbona viongozi na wanasiasa wanapigwa spana mitandaoni hawajaachia ngazi kuogopa comment za wapiga spana?
Hapo ni kufunga harusi gizani watu wasirekodi na simu zao, teknolojia ni shida...Hao ni special case
Ndio maana wanatuibia maokoto ili wajipoze 😏😏
Kwamba simu zinakusanywa ama wanafanyaje kuzuia watu wasirekodiNiliendaga harusi ya mwamba mmoja
Humo ndani ilikuwa marufuku mtu kupiga picha au kurecord video
Kulikuwa na mtu maalum wao wa shuguli hiyo
Ova
Yaani, kuna kabinti katulivu tu, ila kwenye harusi moja kakajiachia kaka nyonga nyonga zake basi baada ya hapo kila mtu anakatongoza, wahuni walijua kana gawa gawa tu. kenyewe kalifurahi tu kwenye harusi ya mjomba wake.Hii inajitokeza zaidi katika siku za karibuni kutokana na maendeleo makubwa ya mtandao. Unakuta Kuna kipande fulani kinachukuliwa na mc katika video ya shughuli bwana Harusi na Bibi Harusi mnajikuta ghafla mnatrend mtandao iwe Ni kwa kituko au kwa uzuri
Madhara yake kwa wahusika
Inaweza kusababisha msongo wa mawazo au kukuharibia heshima yako pahaka fulani
Mc kuweni makini na kazi zenu na usirushe maudhui katika kitandazi chako bila idhini ya wahusika
Siujui ukaribu wenu, ila sidhani kama alikutumia upost..Bahati mbaya sana walengwa hasa ma bibi harusi wanapenda sana,Kuna harusi nilihudhuria nikashangaa baada ya siku kadhaa bidada kanitumia picha zao ili nipost status, sikupost maana huwa sipost chochote
Kumbe suala hapa siyo kuwa videos zinazopostiwa na mc zinadhalilisha, bali ni kwamba wahusika wanataka kuepuka kujulikana maovu yao??Kuna nyingine niliona kwa GaraB, mkaka na mams wake ndio tonight project. Siwajui, ila kupitia comments unapata mkanda mzima, raia walijimaliza kwenye comments kwamba mwanaume ni mala.ya na huyo mams atakuwa ameroga ndo maana anaolewa yeye.
Huoni hiyo ni mbaya? 😂
Kuna hiyo. Na nyingine zinamuelekeo wa udhalilishaji. Kwenye sherehe watu wanajiachia,, kumbe mtaani ni walokole tu wazuri.Kumbe suala hapa siyo kuwa videos zinazopostiwa na mc zinadhalilisha, bali ni kwamba wahusika wanataka kuepuka kujulikana maovu yao??
hili halijaanza siku za karibuni kutokana na maendeleo ya mtandao, labda wewe ndio umeshtukia jana au umepata mtandao janaHii inajitokeza zaidi katika siku za karibuni kutokana na maendeleo makubwa ya mtandao.
HakikaDawa yao ni kuwashtaki
Nisiku za karibuni baada ya smartphone revolution 2011 sijui unabisha ninihili halijaanza siku za karibuni kutokana na maendeleo ya mtandao, labda wewe ndio umeshtukia jana au umepata mtandao jana
tatizo ni biashara za kienyeji enyeji zisizo na mikataba
unampa mtu kazi ya milioni tano (MC, Mziki, n.k.), hamna mkataba, hamna risiti, hamna cheki, hamna nothing..... unategemea afanyeje?
Nini ku post, kuna siku mtakuta wamezi photoshop mko uchi uchi...
dawa yao ni mikataba, mikataba inayoshitakika k
Kweli mkuukuna ile video maarufu dada anajiandaa kumtambulisha mtarajiwa wake siku ya send off,jamaa anaonekana akimkoromea bidada kwa ukali"sitaki show off"japo sauti haisikiki.
video ilizurula kwa miezi kadhaa,watu wakacheka mnoo,ila mtazamo wangu ulikuwa tofauti sana kuhusu hatma ya ndoa ile.
linaweza lisiwe tatizo kubwa sana,lakini likanawiri sababu linafikia watu wengi na kusababisha mambo mengine kwa wahusika.
MCs na watu wa kurekodi kumbukumbu wacheni hii tabia mtakuja kulipa watu au mkafungwa.
Social media ni global ni makosa bila idhini.Harusi ni public event, kuwekwa kwenye status na clip mitandaoni siyo shida ili mradi si kwa nia ya kudhalilisha.
Wengi wanapenda clips kuwekwa mtandaoni na ndiyo inekuwa kawaida. Labda sasa unapomfuata MC inabidi umuonye asiweke picha zako mitandaoni.Hii inajitokeza zaidi katika siku za karibuni kutokana na maendeleo makubwa ya mtandao. Unakuta Kuna kipande fulani kinachukuliwa na mc katika video ya shughuli bwana Harusi na Bibi Harusi mnajikuta ghafla mnatrend mtandao iwe Ni kwa kituko au kwa uzuri.
Madhara yake kwa wahusika
Inaweza kusababisha msongo wa mawazo au kukuharibia heshima yako pahaka fulani.
MC kuweni makini na kazi zenu na usirushe maudhui katika kitandazi chako bila idhini ya wahusika.