MC Alger anafungwa atake asitake. Yanga isiposhinda nipigwe ban ya wiki

Haiwezekani Yanga leo isishinde. Haiwezekani. Yanga leo inashinda si chini ya bao 2. Yaani ushindi upo na ni lazima. Yanga imejipanga kwa hali na mali na kwa kila kitu.

Leo tunashinda. Ubao umetusoma vizuri na wazee wamebariki. Hatoki mtu hapa kwa Mkapa. Nipigwe ban na viboko 14 hadharani nikiwa na mjegeko upo nje wazi wazi kabisa. Na video ichukuliwe.

Isiposhinda Yanga nipewe adhabu hiyo.

YANGA BINGWA.
Hahahahahahaa Kala BAN saaafi Sana sana
 
Tayari huko 😀 😀 😀

1737227650208.png
 
Haiwezekani Yanga leo isishinde. Haiwezekani. Yanga leo inashinda si chini ya bao 2. Yaani ushindi upo na ni lazima. Yanga imejipanga kwa hali na mali na kwa kila kitu.

Leo tunashinda. Ubao umetusoma vizuri na wazee wamebariki. Hatoki mtu hapa kwa Mkapa. Nipigwe ban na viboko 14 hadharani nikiwa na mjegeko upo nje wazi wazi kabisa. Na video ichukuliwe.

Isiposhinda Yanga nipewe adhabu hiyo.

YANGA BINGWA.
Moderator huyu Chizi maaria hana sababu ya kupewe ban. Tayar ni chizi. Muacheni tu auone uchizi wake.
 
Haiwezekani Yanga leo isishinde. Haiwezekani. Yanga leo inashinda si chini ya bao 2. Yaani ushindi upo na ni lazima. Yanga imejipanga kwa hali na mali na kwa kila kitu.

Leo tunashinda. Ubao umetusoma vizuri na wazee wamebariki. Hatoki mtu hapa kwa Mkapa. Nipigwe ban na viboko 14 hadharani nikiwa na mjegeko upo nje wazi wazi kabisa. Na video ichukuliwe.

Isiposhinda Yanga nipewe adhabu hiyo.

YANGA BINGWA.
Kweli wewe ni chizi, ila badili uwe chizi utopolo.
 
Back
Top Bottom