MC Pilipili afungua Kanisa

Hapa huwezi pata like, watu wanakalili wito, mpaka usome uje kuwa Padre!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
labda wataanza kuabudia hapo kabla hawajapata (hawajanunua) eneo lao rasmi......
nakumbuka hata mitimingi alianzia hapo hapo Keby's
Hata sioni ajabu kuzindulia hapo mbona wachungaji wengi wameanzia kwenye kumbi, wamuache amtumikie MUNGU wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiaa mtaalam wa kucheza na maneno hata ww unafungua hekalu. Watu si wanafuata maneno bwana
 
Ntakuja kufungua kanisa,
kanisa la kweli na la haki, nitahubiri msamaa wa dhambi, uponyaji na kufungua vifungo


Amen
 
Wale wahamiaji wanaokimbia makwao ndiyo wanao ongeza idadi kubwa huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ujinga serikali isipoukataza huko mbeleni tutakuja kua na janga la makanisa ya hovyo na watashindwa kudhibiti, sikuhizi ukijua kuongea tu badi unafungua kanisa

Watu wanamchezea Mungu sana
 
Tambua kuna makanisa mengi tu hayahusiani na urumi huo, lutheran, angrikan, sabato nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…