Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Hapa huwezi pata like, watu wanakalili wito, mpaka usome uje kuwa Padre!Watu wamejawa povu sana..sijui ni wivu au ni upumbafu umewajaa..ila kwa namna gani cha msingi injili acheni ihubiriwe.
Shida mmejawa akili za kimasikini tu.
Watu wanatoa sadaka na wanaishi vzr tu.
Fanyeni kazi..kama vipi nanyi fungueni malanisa na misikiti yenu kuna aliyewakataza.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app