MC Pilipili afungua Kanisa

MC Pilipili afungua Kanisa

Watu wamejawa povu sana..sijui ni wivu au ni upumbafu umewajaa..ila kwa namna gani cha msingi injili acheni ihubiriwe.

Shida mmejawa akili za kimasikini tu.
Watu wanatoa sadaka na wanaishi vzr tu.

Fanyeni kazi..kama vipi nanyi fungueni malanisa na misikiti yenu kuna aliyewakataza.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa huwezi pata like, watu wanakalili wito, mpaka usome uje kuwa Padre!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
labda wataanza kuabudia hapo kabla hawajapata (hawajanunua) eneo lao rasmi......
nakumbuka hata mitimingi alianzia hapo hapo Keby's
Hata sioni ajabu kuzindulia hapo mbona wachungaji wengi wameanzia kwenye kumbi, wamuache amtumikie MUNGU wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiaa mtaalam wa kucheza na maneno hata ww unafungua hekalu. Watu si wanafuata maneno bwana
 
Ntakuja kufungua kanisa,
kanisa la kweli na la haki, nitahubiri msamaa wa dhambi, uponyaji na kufungua vifungo


Amen
 
Wengi wao wakisoma bible na misingi ya Ukristo na mienendo ya makanisa duniani kwa umakini wanakataa dini yao na kuangukia uislamu au upagani

Mfano mzuri Malcom X alikuta kanisa halikemie maovu na ubaguzi wa rangi ambazo zilikuwa kero kubwa kwa marekani

Hata kitakwimu nilisoma makala kwenye jarida la Times la Marekani inaonesha uislamu unashamiri sana ulaya makundi kwa makundi yanasilimu mpk na wao viongozi wa makanisa wakaamua kuanzisha kampeni na kuwapa mafunzo watu kwenda nchi ambazo zinawaislamu wengi wakaeneze dini.
Wale wahamiaji wanaokimbia makwao ndiyo wanao ongeza idadi kubwa huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH.

Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na kufunguliwa.

Chanzo: Global Publishers

Huu ujinga serikali isipoukataza huko mbeleni tutakuja kua na janga la makanisa ya hovyo na watashindwa kudhibiti, sikuhizi ukijua kuongea tu badi unafungua kanisa

Watu wanamchezea Mungu sana
 
Kile ni kimondo kilichokua kimedondika Toka angani .
Wapagani wakawa wanakiabudu wakijua ni kimbe kilichotoka mbinguni.
Dini kwenye vitabu ziko sahihi ila zimeathiriwa na Mila na tamaduni za watu wa kale ,yaani wahenga wa zilipoasisiswa.
Ukristo umeathiriwa na upagani wa Kirumi.
Uislamu umeathiriwa na upagani wa Babeli pamoja na uchawi wa zama za Babiloni.
Watu wanapaswa wasome vitabu vyote vya dini ili watumie akili kupambanua mema na mabaya na kujua kuwa Mungu yupo mahali pote na hafungamani na Tamaduni za watu ila anahitaji watu wawe watakatifu ili wauone ufalme wake na waishi kwenye ufalme huo milele kuanzia hapa Duniani mpaka we atakapokufa na kufufuka Tena au kuwa na miili ya kiriho isiyokufa Tena.

Mungu ni Roho nao wamwabudio imewapasa kumwabudu katika Roho na kweli.
Tambua kuna makanisa mengi tu hayahusiani na urumi huo, lutheran, angrikan, sabato nk
 
Back
Top Bottom