Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaenda kuwa billionea, wakristo pole yao aisee!!TAZAMA....!
Anakwenda kutimiza ndoto zake kupitia wapumbafu wachache watakajitokeza kuwa muumini wake
Na kutuponyaKwa hiyo ataanza kutuhubiria?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Wanakuwa wameamua wao wenyewe kujipoteza.Sitowalaumu wakristo wanaogeuka kuwa Atheist(non believer).
KumbeeeWauza ngada hao. Kufanikiwa kupitia waumini ni % ndogo sana. Hao wanakuwa na illicit trade, money laundering, n.k hapo ni amefungua kijiwe cha kuzugia
Kwa sababu huyo Pilipili kawa mchungaji ndiyo mimi niache imani yangu?Wanakuwa wameamua wao wenyewe kujipoteza.
Mkuu yameandikwa, acha yatimieHivi Hawa wafuasi wa watu Kama hawa huwa Wana akili kweli?!!! Bado kizazi cha kipumbavu kipo sana kwenye jamii zetu.
Vilevile naona kuna haja ya utaratibu wa kuanzishwa makanisa kuwekwa vizuri sio Kama ulivyosasa, yaani ovyoovyo tu.
Bila shaka nao hutumia mistari hiyo hiyo kuwahadaa na kupiga pesaSisi wote tulipewa kibali cha kuzaliwa duniani tumetumwa kufanya kazi kwa sifa na utukufu wa Mungu; yaani sisi sote ni mitume wa Mungu.
Mungu huwa anachagua mtu
"kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa Kristo ujengwe; hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani na kumfahamu sana Mwana wa Mungu, hata kuwa mtu mkamilifu, hata kufika kwenye cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo" - Waefeso 4:11-13
Na utaratibu wake wa Mungu katika kuwachagua watu hauratibiwi na mtu ndio maana Musa aliitwa na Mungu mwenyewe na kupewa jukumu lakini Daudi alipakwa mafuta/ailtawadhwa na Samueli baada ya Samuel kupokea maagizo toka kwa Mungu.
Hii ya Pilipili kufungua kanisa ili uweze kumtumikia Mungu anajua yeye na Mungu wake na tumwache. Hii ya kufanya uzinduzi Kebbys nayo tumwachie yeye na Mungu wake
Bila shaka nao hutumia mistari hiyo hiyo kuwahadaa na kupiga pesa
Kuna siku ukiwa na upako unakuwa mahiri sana wa kutuponya.Ameen!Kwakuwa tunajua Mungu hadhihakiwi tusiwe watoa hukumu. Tumwache yeye wanayemhubiri adhihirishe kwamba ni wakweli au waongo.
Sisi tumwombe Mungu atupe hekima ya kuzipima kwa Imani na maombi
Eeeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH.
Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na kufunguliwa.
Chanzo: Global Publishers
Nimeshangaa kwakweli, kwanini uzinduzi usifanyike kanisaniMi nimependa hapo tu... kwenye uzinduzi wa kanisa kufanyika Hotel..!
masanja wenda ni Askofu,,[emoji2][emoji3][emoji3]Kumbe uchungaji mtu anamwagiwa tena na Masanja!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tutegemee lolote,,[emoji3]...na INA maana kuanzia Leo sofa ya MC, Master of Ceremony, imekufa sasa ni Nabii Pilipili ama Mchungaji Pilipili?