MC Pilipili afungua Kanisa

MC Pilipili afungua Kanisa

Sadaka tamu. Ngoja nikae karibu na Instagram account ya mama mchungaji kupata mitindo mbali mbali ya mishono ya vitenge

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tutakoma siku ya ufunguzi tu umeona mshono huo wa pastor qute mena?
 
Nimeshangaa kwakweli, kwanini uzinduzi usifanyike kanisani
labda wataanza kuabudia hapo kabla hawajapata (hawajanunua) eneo lao rasmi......
nakumbuka hata mitimingi alianzia hapo hapo Keby's
 
Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH.

Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na kufunguliwa.

Chanzo: Global Publishers

Sijui nakwama wapi? Au kwakuwa nina hofu na Mungu na nimeishika sana imani!?[emoji848][emoji848][emoji2827]
 
Kwasababu ya imani ya kikristo kuwaaminisha yesu ni mungu wakikaa vizuri akili ikitulia wakijiuliza je kabla ya kuzaliwa yesu dunia haikua na Mungu? Ndo hapo hapo wanaanza kuona wanatapeliwa wanasema Mungu hayupo
 
Hyo imani hta kama hujui maandiko ukitumai akili unajua ni uongo ukija matendo ndo zero kwamba haijakamilisha katika mfumo wa maisha ya binadamu

Kingine 60% wanajua kabisa kama wamepotea wengi wanafanya biashara
 
Nilishangaa sana
Nikahitimisha pengine ndio sababu

Hivi kweli yule MC maarufu na yeye ana miliki kondoo sasa hivi?

Na yeye anaombea watu??

Ndio maana watu wana badili gia angani

🤔😷🙅🏽🙅🏽
Kijana hujaweka utangulizi, pointi umeiruka umerukia kwenye mfano ukahitimisha na imoj.


>Ukristo kule kuna uhuru watu hawashikiwi akili kiviile, ni nafuu miaka hii mambo yanaenda yanabadilika:

Maandiko matakatifu yapo katika lugha tofauti tofauti hadi kikabila!
kwahiyo waumini wengi zaidi wanakua na uwezo wa kusoma maandiko kwakina zaidi (read btn the line (hapa mtu anasoma hadi anajua lengo kuu la muandishi)). Anakua na uwanja mpana wa kudadisi mambo.

Kuna andiko kwenye biblia linasema "imani inakuja kwa kusikia" kwaiyo kuna watu huwa hawasomi maandiko hata wakiyangalia hawayaelewi wao Wanaishia kuyasikia kwa kusimulia na watu wenye uwezo mkubwa wa busara /maarifa na ushawishi kuliko wao hivyo imani inakomaa ndani yao wanaona kama miujiza vile.

>Ukristo ulishamiri sana kwenye mataifa yenye maendeleo makubwa katika elimu dunia (sayansi). kwaiyo wanasayansi wa mataifa hayo walipokua wanakutana na chai ☕️ walikua wanaipuliza ili kuipooza.
>
>
>
Kinyume chake ✅
 
Back
Top Bottom