Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
Sitowalaumu wakristo wanaogeuka kuwa Atheist(non believer).
Mimi nimepitia hayo makanisa nimeona mengi mpaka sasa siamini tena
Upumbavu tu hakuna jipya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitowalaumu wakristo wanaogeuka kuwa Atheist(non believer).
Sadaka tamu. Ngoja nikae karibu na Instagram account ya mama mchungaji kupata mitindo mbali mbali ya mishono ya vitenge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tutakoma siku ya ufunguzi tu umeona mshono huo wa pastor qute mena?
Bonge la mshono na ile style ya nywele.
Ila sasa najiuliza naye ni mchungaji ama ni mama mchungaji?
Yesu kristu , mussa alietunga amri kumi na mitume na manabii wa kale walisomea wapi theology
labda wataanza kuabudia hapo kabla hawajapata (hawajanunua) eneo lao rasmi......Nimeshangaa kwakweli, kwanini uzinduzi usifanyike kanisani
Sijui nakwama wapi? Au kwakuwa nina hofu na Mungu na nimeishika sana imani!?[emoji848][emoji848][emoji2827]Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH.
Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na kufunguliwa.
Chanzo: Global Publishers
Hahhahaha eti jamaa ana njaa...Hahaha akashibe kwanza hahahMkuu hivi umejisoma ulichoandika,go eat njaa itakuua!
Kijana hujaweka utangulizi, pointi umeiruka umerukia kwenye mfano ukahitimisha na imoj.Nilishangaa sana
Nikahitimisha pengine ndio sababu
Hivi kweli yule MC maarufu na yeye ana miliki kondoo sasa hivi?
Na yeye anaombea watu??
Ndio maana watu wana badili gia angani
🤔😷🙅🏽🙅🏽
>Ukristo kule kuna uhuru watu hawashikiwi akili kiviile, ni nafuu miaka hii mambo yanaenda yanabadilika:
kwahiyo waumini wengi zaidi wanakua na uwezo wa kusoma maandiko kwakina zaidi (read btn the line (hapa mtu anasoma hadi anajua lengo kuu la muandishi)). Anakua na uwanja mpana wa kudadisi mambo.Maandiko matakatifu yapo katika lugha tofauti tofauti hadi kikabila!
Kuna andiko kwenye biblia linasema "imani inakuja kwa kusikia" kwaiyo kuna watu huwa hawasomi maandiko hata wakiyangalia hawayaelewi wao Wanaishia kuyasikia kwa kusimulia na watu wenye uwezo mkubwa wa busara /maarifa na ushawishi kuliko wao hivyo imani inakomaa ndani yao wanaona kama miujiza vile.
Kinyume chake ✅>Ukristo ulishamiri sana kwenye mataifa yenye maendeleo makubwa katika elimu dunia (sayansi). kwaiyo wanasayansi wa mataifa hayo walipokua wanakutana na chai ☕️ walikua wanaipuliza ili kuipooza.
>
>
>