MC Pilipili afungua Kanisa

MC Pilipili afungua Kanisa

Mwamba pilipili nimemuona majuz Yuko chakari anaimba Bora niinjoy purupupupu pembeni Ako daimind na mzungu wa dulah makabila
 
Aliwapata wajinga kweli...

Anyway huyu akajifunze aongeze utaalam ya utapeli na mazingaombwe

Arudi tena kanisani

Ova
 
Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH.

Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na kufunguliwa.

Chanzo: Global Publishers

Tuko speechless!
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom