Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mgalatia kanisa limeishia wapi?Waarabu weusi a.k.a wavaa kobazi watapinga.
#MaendeleoHayanaChama
We mgalatia kanisa limeishia wapi?
Hata na la masanja halitadumuHakua na utume ni njaa na tamaa tu zilimjaa.
Well saidiWauza ngada hao. Kufanikiwa kupitia waumini ni % ndogo sana. Hao wanakuwa na illicit trade, money laundering, n.k hapo ni amefungua kijiwe cha kuzugia
Tuko speechless!Mshereheshaji wa Harusi na mtia nia ya ubunge kwenye uchaguzi wa 2020 kupitia CCM, MC Pilipili amezindua kanisa linaloitwa LOVE CHURCH.
Uzinduzi huo Kabambe umefanyika kwenye hotel ya Kebby's Iliyoko Sinza, DSM, na kuhudhuriwa na waimbaji kadhaa wa nyimbo za injili, huku watu wakiombewa na kufunguliwa.
Chanzo: Global Publishers
Maisha yanakimbia sana
Tuko speechless!
😂😂😂😂😂
Well saidi
Hakua na utume ni njaa na tamaa tu zilimjaa.
HahahaAliwapata wajinga kweli...
Anyway huyu akajifunze aongeze utaalam ya utapeli na mazingaombwe
Arudi tena kanisani
Ova
Mwamba pilipili nimemuona majuz Yuko chakari anaimba Bora niinjoy purupupupu pembeni Ako daimind na mzungu wa dulah makabila
Ngoja tuone...before and after