Kizzy Wizzy JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 3,280 Reaction score 3,789 Dec 5, 2019 Thread starter #161 dindilichuma said: Mke wake Anakazi kubwa Sana yakumbembeleza Huyu mwabaume goigoi. Nchi ikipata wanaume kama hawa wengi inapotea Kabisa. Ila sijui kama ni mwanaume kweli maana mkewe anambembeleza kama mtoto. Click to expand... Kulia sawa inaruhusiwa kimaadili haitakiwi mwanaume ulie hadharani Ni aibu kubwa sana
dindilichuma said: Mke wake Anakazi kubwa Sana yakumbembeleza Huyu mwabaume goigoi. Nchi ikipata wanaume kama hawa wengi inapotea Kabisa. Ila sijui kama ni mwanaume kweli maana mkewe anambembeleza kama mtoto. Click to expand... Kulia sawa inaruhusiwa kimaadili haitakiwi mwanaume ulie hadharani Ni aibu kubwa sana
LWENYI JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 1,798 Reaction score 2,107 Dec 5, 2019 #162 Wagogo bwana, ujanja wao hapa mjini mwisho vingunguti tu
K Kibabu chenye pesa ndefu JF-Expert Member Joined Aug 10, 2019 Posts 309 Reaction score 205 Dec 5, 2019 #163 Kizzy Wizzy, wajukuu zangu nan ana namba ya hako ka mc uchwara nikakatafune? kanatudhalilisha wanaume wa shoka
Kizzy Wizzy, wajukuu zangu nan ana namba ya hako ka mc uchwara nikakatafune? kanatudhalilisha wanaume wa shoka
Kizzy Wizzy JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 3,280 Reaction score 3,789 Dec 5, 2019 Thread starter #164 Hahahah LWENYI said: Wagogo bwana, ujanja wao hapa mjini mwisho vingunguti tu Click to expand...
AKASINOZO JF-Expert Member Joined Aug 22, 2016 Posts 1,367 Reaction score 2,219 Dec 5, 2019 #165 Nakumbuka nililia nilivyompoteza baba angu mzazi mambo mengi ni kujidhalilisha mwanaume
Kizzy Wizzy JF-Expert Member Joined Aug 2, 2013 Posts 3,280 Reaction score 3,789 Dec 6, 2019 Thread starter #166 Mwanaume unatakiwa ulilie chumbani hukoo sio hadharani mbele ya makamera AKASINOZO said: Nakumbuka nililia nilivyompoteza baba angu mzazi mambo mengi ni kujidhalilisha mwanaume Click to expand...
Mwanaume unatakiwa ulilie chumbani hukoo sio hadharani mbele ya makamera AKASINOZO said: Nakumbuka nililia nilivyompoteza baba angu mzazi mambo mengi ni kujidhalilisha mwanaume Click to expand...
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Dec 6, 2019 #167 Hivi ni lazima kila anae hojiwa na zamaradi alie?
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Jan 9, 2025 #168 Balaa lilianzia hapa😅