MC Pilipili anatrend baada ya kuachana na mkewe (kataa ndoa)

Tuishi nao kwa akili
 
Pilipili ashukuru alionewa huruma akae kwa kutulia. Kwanza alianza kwa kulia lia kama dent he set himself up for failure.
The machine was of high maintenance unfortunately, and these boys don’t seem to understand!

Tunabaki kusema kama mmependana sawa, sisi tutawa support πŸ˜… Kimoyomoyo tunasema mwamba kayakanyaga hamna rangi ataacha kuona!
 
Huwaga na semaga kuna kipindi kitafika kuoa kutakuwa kama ni kitendo cha kishujaa. Viongozi wa dini wengi ukiwauliza, watakuambia wanatumia mda mwingi sana kusuluhisha migogoro ya ndoa kuliko shughuli nyingine za kiroho.Yani kuna migogoro mingine inakuwa kama series.
 
Duuh kazi ipo,,halali wanaume watuogope
Si ndioo! πŸ˜‚ Na wawapige matukio.

Mtu kama pilipili kumpenda mtu tena labda afikishe 46+ ile phase wanaume hupata their third love. Baada ya kuwa disappointed na Wa utotoni, wa ujanani na wa utu uzimani.
 
Tuishi nao kwa akili sana ni viumbe dhaifu lakini ni hatari mno.
Na wengi wanaooa ni wale ambao hawana akili mwanaume mwenye akili haoi mwanamke yaan atakagua weee umri unapaa tu na ulisikia wapi mwanamke anakubari kuolewa na mwanaume mwenye akili mwanamke anakubari kuolewa na mwanaume lofa akikugundua wewe una akili hakubari kuolewa na wewe habadani hasilani
 
Kwenye hili MC pili pili ndo alikuwa mpumbavu, mwanamke ukimuonyesha kwamba unampenda sana ndio inavyokuaga
Akili ziliporudi ndipo akagundua kua amepotea ila mwanzo alikua lofa, sasa mwanamke ukianza kumuonyesha una akili na akikugundua kweli akili zinachaji umekula kwako lazima mtibuane wanawake wanapenda wanaume malofa malofa hawapendi wanaume wenye akili mwanaume mwenye akili kweli anajua kuzitumia akili zake hawezi kwenda sawa na mwanamke

Mc Pilipili alikua lofa zoba kabisa zezeta kwa mwanamke wake, sema sijui kaenda kuoga maji ya visima saba au kaenda kuogea maji ya katikati ya bahari ndio akili zikarudi anashtuka kumepambazuka akili zinaanza kuchaji kwamba hapa kwani kuna nini sasa mwanamke hilo hataki mwanamke na mwanaume mwenye akili wapi na waapi yeye anataka uwe lofa lofa flani hivi hapo mtaenda sawa
 
Hakuna mwanamke anaekubari kuolewa na mwanaume mwenye akili, mwanamke anakubari kuolewa na mwanaume lofa lofa tu tena mwanaume akianza kuonyesha ana akili mwanamke anamlia gepu amteme mazima akishindwa anapiga kipapai ili awe lofa lofa nani kakwambia mwanamke anamtaka mwanaume mwenye akili?
 
Siku zote wewe ni mkweli kwenye hii mijadala.
Mwanaume akivuka miaka 40 kuelekea 50 akasema sioi ndio bye bye huyo haoi tena yaan atabakia bachela for life hana mke ila ana watoto, hakuna mwanamke anaekubari kuolewa na mwanaume mwenye akili namaanisha ili umuoe mwanamke inabidi uonyeshe kiwango chako cha ulofa to the maximum ni jinsi gani wewe ni lofa hapo ndio mwanamke anakubari umuoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…