Mc Pilipili: Sipo kwenye ndoa, mwanamke amenifilisi

Kwan garab hajaoa?
Ana mke na watoto kadhaa
Afu nn maana ya apartments?samahani kuuliza
 
Kwan garab hajaoa?
Ana mke na watoto kadhaa
Afu nn maana ya apartments?samahani kuuliza

Ameoa ila hajaoa kizembe zembe.

Kaoa demu mambo safi.. anayetoka familia iliyonyooka..

Garab hajaoa mdada macho juu juu .

Kaoa mtoto wa msomi mambo safi Dr wa udsm

Appartments ni nyumba za kupangisha za kisasa
 
Ukishaweka ndoa yako mitandaoni ujue hiyo ndoa inaenda kwenye life support machine. Bado Manara.
Kuna yule bonge kakaake huyu toka Mpwapwa Le Mutuz.
Tulikua nae humu toka NYC,Field Marshall.
Kapigwa tukio huko na mama watoto kaja kulia lia hapa.
Kakimbilia bongo na dola 1000.
Hilo kasema yeye zamani tu.
Karudi kawa tena mzee wa mabebez
Mpaka kifo
Hayo mambo sio ya kuongea humu ,unapiga unakausha siku imeisha..
Humu ni story tu muda uende,sielewi watu wanapata wapi ujasiri kuongea mapenzi yao humu.
 
Unamzungumzia Haji manara au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…