Tatizo watu huwa wanamaliza maneno yote huwa hawabakishi ya hakibaBaba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke.
Amesema kwa sasa yupo na Pacome.
Tumuombee arudiane na mkewe. View attachment 2926310
Ila sasa si ungenielekeza taratibu kuliko kunitolea mfano mgumu vile😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁 ndio uone jinsi ilivyo kazi ku deal na mwanamke ambaye hakuelewi
Ewaaaah, sema nimejiangalia hapa kwenye kioo saivi ni kama vile namzidi😂Kama wewe
Mfano mgumu ndio unaleta wepesi wakuelewa 😂Ila sasa si ungenielekeza taratibu kuliko kunitolea mfano mgumu vile😂😂😂
Bora ungemtolea mfano yule fwala kutoka misitu ya Congo ningeelewaMfano mgumu ndio unaleta wepesi wakuelewa 😂
HahahahaBora ungemtolea mfano yule fwala kutoka misitu ya Congo ningeelewa
Dah!Baba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke.
Amesema kwa sasa yupo na Pacome.
Tumuombee arudiane na mkewe. View attachment 2926310
Joanah Unamuona kama hajatulia?Sio hater lakini yule dada binafsi namuona macho juu juu sana
Sio kwa ubaya
Na sidhani kama kweli wameachana
Demi Kwasababu gani unasema walikuwa hawaendani?Walikuwa hawaendani, lilikuwa ni suala la muda
Missy Gf kwanini?Ila yule dada haendani kabisa na jamaa
Kwani Manara alishawahi kuwa na NDOA?Ukishaweka ndoa yako mitandaoni ujue hiyo ndoa inaenda kwenye life support machine. Bado Manara.
Japo wamekutana wote watoto wa mjinikvp? Kitabia, hulka ama mwonekano kwamba ni pisi kali?
Mwanaume fulani hivi mkali ambaye atamdhibitiKivipi.....anaendana na nani......wanawake bhana 🤣🤣🤣
Mc pilipili mlugaluga