Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Kwahiyo missy unanishauri hata mm niwe mkali kwa mchumba wangu.Mwanaume fulani hivi mkali ambaye atamdhibiti
Mc pilipili alionesha udhaifu kwanzia mwanzoni kabisa
Unaweza sema ajali ya bodaboda kumbe ni kafara.kufiwa na mama siku ya harusi. tena kwa ajali ya boda boda kumempa msongo mkali sana wa mawazo mc pilipili
He! Ulishamkula?Yule demu wake ni mtamu asikwambie mtu, ana alama kwenye nanii.
Ni kweli. Ulugaluga umemponza...hakuwa mjanja. Halafu kapata pisi kali kutwa kuringishia mtandaoni.Pili pili alijipata mapema sana. Angekuwa mjanja angekuwa mbali sana zaidi ya Gara B.
Miaka ya 2015 mc pili pili ndie alikuwa anakimbiza soko la u mc harusi anatembelea Prado
Maisha ya mtandaoni ktk karibu kila angle huwa sio halisi. Ni suala la muda tu.Ni kweli. Ulugaluga umemponza...hakuwa mjanja. Halafu kapata pisi kali kutwa kuringishia mtandaoni.
Seems baada ya kuingia kwenye uchungaji ndio akashuka au baada ya kuoa. Sababu mke anakuja na baraka au uziaPili pili alijipata mapema sana. Angekuwa mjanja angekuwa mbali sana zaidi ya Gara B.
Miaka ya 2015 mc pili pili ndie alikuwa anakimbiza soko la u mc harusi anatembelea Prado
Hiki kizazi hikiTulijua hili lingetokea. Mwamba alionyesha wazi kua yeye ndio kampenda zaidi mwanamke kuliko mwanamke alivyompenda yeye.
Alionyesha wazi kua yeye ndiye aliyekua anahitaji sana ndoa kuliko mwanamke alivyokua anaihitaji. Kwa kifupi tu ni kwamba he was a simp! Women never get along with simps!!!
Seems baada ya kuingia kwenye uchungaji ndio akashuka au baada ya kuoa. Sababu mke anakuja na baraka au uzia
Ndio naona baada ya soko lake kushuka akaingia kwenye 'utumishi', na huduma ya kanisa ndio ameifunga hivi karibuni.Mc pilipili alishushwa na ma mc vijana wapya sokoni.. wamekuja vijana wabunifu zaidi yake wakamtoa sokoni .. ndio hao kina Gara B.
uchungaji kaingia juzi juzi tu baada ya kuona u mc hapati wateja wa kutosha
Hao jamaa wameshaweka kambi hapa Ila hawana hoja ya msingi kwa kuwa mhuni fulani aliyejivika uchungaji ndiye kamkumbia mwanamke mhuni mwenzie.wazee wa kataa ndoa wakiibuka tutachekwa sana
Yasemekana naye mchungaji naye ni chakla ya watu. Na hii yaweza kuwa ndiyo sababu iliyomkimbiza mwanamke, kaogopa kuishi na mwanamke mwenzieBaba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke.
Amesema kwa sasa yupo na Pacome.
Tumuombee arudiane na mkewe. View attachment 2926310
Kataa ndoa watakupinga kwa hili πYasemekana naye mchungaji naye ni chakla ya watu. Na hii yaweza kuwa ndiyo sababu iliyomkimbiza mwanamke, kaogopa kuishi na mwanamke mwenzie
Hasa wale wa kupost picha za wapenzi wao mitandaoni, hao husema kila kitu pasipo kubakisha, mwisho wa siku utasikia wanalia eti mwanamke kamfilisi ππTatizo watu huwa wanamaliza maneno yote huwa hawabakishi ya hakiba
Atubu kwanza kwa nini alimpigia goti wakati anamvisha Pete?Baba mchungaji huyu amefunguka kuwa hayupo katika ndoa kwa sababu ya kufilisiwa na mwanamke.
Amesema kwa sasa yupo na Pacome.
Tumuombee arudiane na mkewe. View attachment 2926310
Hiyo Prado bado anayo au Qute kaiuza?Pili pili alijipata mapema sana. Angekuwa mjanja angekuwa mbali sana zaidi ya Gara B.
Miaka ya 2015 mc pili pili ndie alikuwa anakimbiza soko la u mc harusi anatembelea Prado
Hata akitubu hawezi rudiana na mkewe, jamaa kakazia kuwa kwa sasa yupo na Pacome tu full bleach kichwani ππAtubu kwanza kwa nini alimpigia goti wakati anamvisha Pete?