Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi


Endeleeni kumpiga madongo ivyo ivyo wakati jamaa anatengeneza mshiko tuuuu....Imagine kila weekend yuko booked,harusi moja anafanya 1mil -1.5mil...KWa mwezi anaingiza 4mil - 6mil.....na mara nyingi yuko booked miezi mitatu au minne mbele...
 
Pilipili akili zke kma za kaka yake lemutuz
 
Mi Bora niendelee kuwa angalia akina Kat William, criss rock n sommore n Eddie Griffin lakini hawa wabongo Ni zero kabisa.
Afadhali akina Churchill wako poa
Mpoki ndio Mtu angeiweza stand up vizuri bongo. Yuko creative
Kuna Dave Chappelle...jamaa ukimuona utamchukulia poa ila kwenye stage ni noma.
 
Huwa simuelewagi anaiga kipindi Fulani cha wakenya
 
Kwanza huwa namwona anarudia rudia tu, sijui hata hao fans wake hawafuatiliagi mitandao
 
Yaani anaboa hadi kupitiliza...sio mbunifu kabisa...hata harusi zake zinaboa kishenzi na umcee wake wa kicomedy ambazo hata hajui
 
Sumaku nchi nyingine weweee
 
Kweli hiyo fani kavaba, unajua usidhani kuchekesha wanafunzi darasani ukadhani ni rahisi kuchekesha watu wazima wenye stress za kila namna.
 
Duh mlivyomkomalia, kwa upande wangu naona anachekesha, tatizo lake ni moja, anarudia sana vichekesho, sio mzalishaji mzuri wa vitu vipya
I echo your words. Emma ni mchekeshaji mzuri tuu, tatizo lake ni kuwa anarudia sana vichekesho vyake. Yani ukihudhuria comedy show yake for the first time, utacheka sana. Lakini ukihudhuria mara ya pili u will just end up being bored, sababu hakuna kipya utakachokisikia. Yani ana vichekesho vile vila. Anarudia rudia vichekesho hivo hivo daily
 
Jumamosi ya 6/11/2016 EATV walionyesha kipindi kipya cha Flora show mrembo mtanashati. MC Pilipili alionekana katika part ya kuwa MC katika harusi mbalimbali akionyesha kipaji chake cha kuchekesha, amechekesha biharusi, bwana harusi na waliohudhuria mpaka amepitiliza[emoji23] [emoji23]

*Amethibitisha kama yeye ana kipaji kilichopitiliza
 
Waxhekeshaji bongo ni akina masanja, joti na group Lao lote hawa wengine miyeyusho tuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…