Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Budaa unajua ile mvua ya 3d? Hapo bado hujakutana na mvua ya 12d..Ayeya ni anajua aiseee.
News ni news
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Budaa unajua ile mvua ya 3d? Hapo bado hujakutana na mvua ya 12d..Ayeya ni anajua aiseee.
News ni news
Nimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya. Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.
Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri. Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
Pilipili akili zke kma za kaka yake lemutuzNimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya. Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.
Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri. Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
Kuna Dave Chappelle...jamaa ukimuona utamchukulia poa ila kwenye stage ni noma.Mi Bora niendelee kuwa angalia akina Kat William, criss rock n sommore n Eddie Griffin lakini hawa wabongo Ni zero kabisa.
Afadhali akina Churchill wako poa
Mpoki ndio Mtu angeiweza stand up vizuri bongo. Yuko creative
Yaani anaboa hadi kupitiliza...sio mbunifu kabisa...hata harusi zake zinaboa kishenzi na umcee wake wa kicomedy ambazo hata hajuiNimekuwa mfatiliaji mzuri sana wa hawa wasanii wetu wa stand up comedy kwa mda mrefu lakini bado naona mambo si mazuri tofauti na kwa wenzetu wa Kenya. Mc PiliPili naona akijitutumua lakini sanaa yake bado holaa, kakosa ubunifu wa kutosha na kusababisha kuishia tu kwenye Maharusi.
Me nahisi imefika wakati ajifunze kwa wenzake akina Eric Omondi, Prof. Hamo Kansiime anne, Mc jessey na wengine wengi ili alete vitu vizuri. Lakini kingine akubali kuwa na management yenye watu wanaoweza kumsaidia kuwa mbunifu zaidi kwenye Sanaa ya uchekeshaji.
Sumaku nchi nyingine weweeeNi kweli Tz hatupo vizuri katika stand up kwa waliopo sasa hivi ila hawa uliowataja labda Prof Hamo, binafsi Anne na Eric naona hawako vizuri. Kuna mshikaji anaitwa Ayeya yule ni comedian mzuri kushinda hawa wawili.
Kwa ninavyojua sifa nyingine ya kuchekesha kama huwezi observational comedy basi uwe unaongea ujinga hapa unaKutana mtu anaitwa Sumaku anaongeaga pumba tamu sana kuzisikiliza.
I echo your words. Emma ni mchekeshaji mzuri tuu, tatizo lake ni kuwa anarudia sana vichekesho vyake. Yani ukihudhuria comedy show yake for the first time, utacheka sana. Lakini ukihudhuria mara ya pili u will just end up being bored, sababu hakuna kipya utakachokisikia. Yani ana vichekesho vile vila. Anarudia rudia vichekesho hivo hivo dailyDuh mlivyomkomalia, kwa upande wangu naona anachekesha, tatizo lake ni moja, anarudia sana vichekesho, sio mzalishaji mzuri wa vitu vipya
Sure, tatizo lake ni anarudia rudia vichekesho vyake sana.. Ila ni comedian mzuri tuuSi mbunifu kwa kweli.
Ukimsikiliza mara tatu , anayoyaongea yanajirudia daily....