Mc Pilipili utanisamehee kwa ukweli huu "huna kipaji cha kuchekesha"


Ni kweli kabisa. Niliposikia MC Pilipili kwa mara ya kwanza nilitamani sana kumsikikiliza nione ana nini cha tofauti. Ukweli wa mambo nilipotapa wasaa wa kumsililiza kwenye kipindi kimoja kupitia CLOUDS FM... nilifunga redio kabisa... it was so unplesant
 
Wivu na roho mbaya za wabongo.

 

Sijawahi Kumkubali na nadhani nitakuwa wa mwisho kabisa Kumkubali tena kishingo upande. Tanzania nzima ina Wachekeshaji hawa tu....
  1. Mzee King Majuto
  2. Lucas Mhavile a.k.a Joti
  3. Masanja
  4. Kingwendu
  5. Bambo
  6. Mtanga
  7. Mkwere
Waliobaki ' wanajaribu ' tu.
 
Ukitaka Comedy za nguvu angalia Churchill Show jamaa huwa anawalika ma- celebrity mbalimbali kama Teacher Mpamire,Professor Hamo,Eric Omond na wengineo kibao
 
Asilimia kubwa ya wasanii wa Tz wanaforce iwe ni comedy, movies, mziki etc ...... Uwezo ni mdogo sana, wengi hawana shule kichwani.... akipata tuhela ndio anajiona ni mtu maarufu hata jinsi ya kutembea anabadili style..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…