Low Battery
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 210
- 124
Kiukweli jamaa hamna kitu kwenye huyo tasnia.. !!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iddris kaliwa mtonyo wake wote wa bba na misambwanda ya bongo na hv shule hatujui alisoma lini basi kichaka pekee cha kukimbilia MA celebrity wa bongo ni kuzuga kwenye vijicomedy maana mziki haweziHaha hata idris sioni anachofanya kwenye stand up comedy..
Povu ruksa
Kuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.
"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"
Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".
WEWE SI MCHEKESHAJI.
AHSANTENI.

Yukwapi huyu FUNDI?niongezee Senga tafadhali mkuu
Ndio mc pilipili mwenyewe nini!! Mbona hili limekuuma sana hadi unapangia watu cha kufanya kwenye muda wao wa ziada!!!!Unatenga muda wa mapumziko kwa kuzungumza umbea? Ficha ujinga wako.
Mi ni mdada. Sijawahi muelewa.Huyu jamaa nimehudhuria matamasha yake dhaa kiukweli anaboa. Ni kama amekariri ucheshi. Maana anaongea yaleyale kila tamasha. Labda wadada ndio wanamuelewa bt binafsi anaforce KING
SengaNchi hii comedian naturally ni Mpoki, joti, Bambo na kingwendu tu..wengne cjui wanachofanya
Kweli Pesa makaratasi. Mil 600 hlf nibaki kuwa kapuku..hapana kwa kweli!Iddris kaliwa mtonyo wake wote wa bba na misambwanda ya bongo na hv shule hatujui alisoma lini basi kichaka pekee cha kukimbilia MA celebrity wa bongo ni kuzuga kwenye vijicomedy maana mziki hawezi
Huyo Churchill, mwenyewe hamna kitu bora Senga na Pembe [emoji41]Ukitaka Comedy za nguvu angalia Churchill Show jamaa huwa anawalika ma- celebrity mbalimbali kama Teacher Mpamire,Professor Hamo,Eric Omond na wengineo kibao
Jitihada anazo. Ila abadili mwelekeo. Tunamtakia mafanikio.Hata kama mtasema hana kipaji, mie naheshimu sana jitihada yake aliyofanya hadi amefika hapo alipo.
Respect the hustle