Eric Banks
Senior Member
- Jun 4, 2015
- 174
- 245
Kweli kabisa analazimisha lakini patupuHaha hata idris sioni anachofanya kwenye stand up comedy..
Povu ruksa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa analazimisha lakini patupuHaha hata idris sioni anachofanya kwenye stand up comedy..
Povu ruksa
Mc pilipili bhana! Relax yakuingieFanya yako acha kujaji kazi za watu
Tutamshauri awe kama wewe msaga soli na mchana majamviKuna mambo ya kupeana support na kuna mambo pia ya kuelezana ukweli, siko hapa kumkatisha mtu tamaa ila My Brother Mc Pilipili sanaa ya Uchekeshaji imekupiga Kanzu.
Speed ya standup comedy ilipo na ww unachokifanya ni Kigoma na London.
"Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa hamtakosekana kussuport comedy ya huyu mtu kinafiki,ila kwa mm binafsi,
Lazima tuiite beleshi beleshi na sio kijiko kikubwa. !"
Mc pilipili Ukumbuke tu,si kila anayepiga makofi basi anakupongeza , ukitaka uhakika muulize "Mbu".
WEWE SI MCHEKESHAJI.
AHSANTENI.
mtoa post nakuunga mkono
Kawaida yenu watz hamna jema wala uzalendo kwa watz wenzenu mapingwa wa kukosoa hamna hoja au mchango chanya.Kweli kabisa analazimisha lakini patupu
Kukoselewa ni kawaida. Kama ana akili huu uzi utamjenga. Sisi wateja wake lazima tumwambie ukweli.Kawaida yenu watz hamna jema wala uzalendo kwa watz wenzenu mapingwa wa kukosoa hamna hoja au mchango chanya.
Gonga mzigo pilipili nani kawahi kuwa kama. Wanakudiscuss kwakuwa wameshaona umetoka wao bado wako vijiweni kusogoa na hawana ishu
Ndio ujue kuna akili ya pesa na akili ya kuvkia barbarHuyo idriss nae kafulia mpaka huruma yaani mtu upewe 600 millions na fame alafu mwishowe ugange njaa kwa kubaka talent za watu na kutangaza viredio vya vichochoroni?