Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Kama kweli alikuwa akidondosha dondosha machozi wanawake wengi hawawezi kukubali wewe mwanaume ukae kwenye nafasi yake.
 
Kwa sasa hata mademu wa Dar huko kitambaa cheupe ndio haohao wanapatikana Dom. Wanamove kama nyumbu tu. Ukifika muda wa kuwa Dom wanajaa kwenye SGR Dom inachafuka. Wakimaliza kazi zao huko wanarudi Dar tena.
 
Pia inakuepusha na taarifa mbaya kuhusu mkeo unamuona malaika maisha yako yote
 
Pia inakuepusha na taarifa mbaya kuhusu mkeo unamuona malaika maisha yako yote
Unaambiwa watu wana mafile ya mtu wako ambayo huyajui na kuna Watu wao wameumbwa Yani kazi yao ni kuharibu Yan akiona mnafurahia watatumia pesa na kila ktu kuchukua mke
 
Unaambiwa watu wana mafile ya mtu wako ambayo huyajui na kuna Watu wao wameumbwa Yani kazi yao ni kuharibu Yan akiona mnafurahia watatumia pesa na kila ktu kuchukua mke
Iko hivyo siku zote. Ukiweka mbwembwe kwenye ndoa inaenda na maji. Ila tubaki kwenye point, "tafuta unayemmudu."
 
Ukisema mdada ni above my league, unamaanisha league ya nini, au mdada anakua amenizidi nini

Wanaume ambao wako kwenye league ya ku date na mke wa mc pilipili ni kama kina nani? Detective J
 
Ukisema mdada ni above my league, unamaanisha league ya nini, au mdada anakua amenizidi nini

Wanaume ambao wako kwenye league ya ku date na mke wa mc pilipili ni kama kina nani? Detective J
Hapo kuna mawili au zaidi, mwanamke kamu undervalue jamaa, au mwanamke hakuwa anampenda mshikaji toka mwanzo. Ila ni mwanamke wa kawaida sana, sema kajua kutumia mitandao kujitangaza
 
Ndio watoto wazuri wanavyo taka kuishi wanajaribu kila mlango mpaka wakute chumba chenye hela na sisi tutaishi nao hivyo hivyo.
Ila kweli tuwagegede tuu wenyewe wakishaona wametosheka na kutanga tanga watatulia
 
Wa kawaida mkuu, ila pia inawezekana pili pili mwenyewe akawa ni tatizo
 
Aisee, Kuna aliyeona chochote kwenye macho ya huyo dada kwenye picha?, hayo macho yake yanaonesha tafsiri Fulani, kama uko vizuri utajua namaanisha Nini.
 
Siku anampigia magoti ndio siku alijimaliza
 
Wa kawaida mkuu, ila pia inawezekana pili pili mwenyewe akawa ni tatizo
Sio inawezekana, ndio uhalisia, ukiona mwanaume anaachana na mwanamke anaanza kulia lia, mara vijembe, mara status jua tu ana matatizo.
Yeye alipaswa apige kimya, aendelee na maisha yake mengine, KIUME hiyo.
 
Naongezea hapa kidogo, alipoteza wanawake waliompenda kwa dhati akamfuata mwanamke ambae yeye ndo aliempenda kwa dhati wakati mwanamke alifuata hela na umaarufu wa jamaa, hapo ndo shida ilipoanzia. Huyo Dada kwa kumuangalia tu alivyo na anavyojiweka aiseeh tuache utani MC Pilipili hawezi sukuma hiyo chuma. Bora hata angerudi Dodoma tu aoe mgogo mwenzie. Atulize akili sasa ashajifunza tayari, akilazimisha tu hapo kwa huyo demu, next step ni either aue ama ajiue kwa wivu ama vyote kwa pamoja. Mapenzi ni kitu cha ovyo sana sometimes, yanapoanza hua ni matamu balaa kiasi kwamba unawaona wengine wote ni wehu ila wewe pekee ndo una akili kumiliki pisi ya kwenda
Jamaa alipitia msukosuko kwenye kumuoa huyo mwanamke damu ilimwagika sana kwa kujua au kwa kutokujua ila aliwapoteza watu aliowapenda sana kwa sababu ya huyo mwanamke na hio inamuumiza mpaka siku anaenda chini hicho kidonda hakiwezi kufutika
 
Hata dada kamvumilia sana kwa umalaya wake
 
Hakuna mwanamke asiye na tamaa dunia hii HAKUNA!

Stori ya adama na hewa ni fiction tu usiitumie kama ref
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…