Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Nimelia sanaโ€ฆ.msumari wa moto kwa Mc pili pili huu
 
Umenena braza hayo Yana ukweli
 
Ukiachilia mbwembwe zake zile za "forever and for always" Kipindi cha ndoa,

Yaliyomkuta ndio yanayoendelea mtaani na sio story, tofauti tu yeye ni maarufu na wengine hawajulikani. Na ninajua hapa kila mmoja atageuka kungwi hata kama alichokiacha nyumbani au kitandani anakijua kinavyomnyima usingizi.

Kwa hiyo Hakuna fundi wa ndoa au malezi bali ni kudra za Mungu tu
 
Is why wazee wetu huwa wanasisitiza koto kutangazana au kutangaza ndoa yenu au mahusiano
Mara nyingi wenye matangazo hawafiki mbali, no matter how much kiasi cha pesa wanakuwa nacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ