Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mwaka 2018 -2020 tulisumbuliwa sana na washamba watatu kutuonesha mademu zao.

Mc Pilipili, Pastor Msanii na DC.

Wote walipigwa na chuma kizito.

Sema umaarufu na hela sometimes sio gundi ya kuwanasa mademu.

Me naamini kuishi low-key ndio kila kitu
 
Na wanapambana nazo mpaka wanasema
 
Mwaka 2018 -2020 tulisumbuliwa sana na washamba watatu kutuonesha mademu zao.

Mc Pilipili, Pastor Msanii na DC.

Wote walipigwa na chuma kizito.

Sema umaarufu na hela sometimes sio gundi ya kuwanasa mademu.

Me naamini kuishi low-key ndio kila kitu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wote wamekula umeme, somo la balance shobo lishaeleweka.
 
Au demu wake wa mikoani maana wanazuzuka Sana waliingia jijini hua tunawaita kuku wa kienyegi hadi wapingwe pipe , wadanganywe na wapaka kucha rangi, wadanganywe na lift, wadanganywe na kila aina ya mtu
 
Hahaha dah
 
Baba alisema na mama akasema anaifahamu jinsia yake vyema ilivyo na shida stop kuongea bila mpangilio
Basi ungetuambia baba alivyosema kwamba umepaniki au hujapaniki mi sijali ila wakati mwingine achana na mifano ya "mama aliniambia"it makes you weak
Mwanaume anaambiwa na baba yake kenge we!
 
List ni ndefu

Nikki wa pili
Mc pilipili
Mabeste
Ben paul
Ay

Hawa wote πŸ‘†πŸ» walikutana na kitu kizito
Wakijikusanya wote wakapewa nafasi ya kumpigia kura mgombea mmojawapo wa CHADEMA lazima mgombea achukue uenyekiti maana ni wengi kinyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…