Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Mc Pilipili: Vijana wezangu tutafute wanawake wasio na tamaa!

Is why wazee wetu huwa wanasisitiza koto kutangazana au kutangaza ndoa yenu au mahusiano
Mara nyingi wenye matangazo hawafiki mbali, no matter how much kiasi cha pesa wanakuwa nacho
Wazee walikua kwenye jamii ambazo husda zilikuwa zipo kweli kweli kwa hiyo kutangaza mambo yako mazuri ni kuzivutia hizo negative energy ndio maana wengi waliona ni mwiko hata kutangaza mafanikio.

Zamani mimba inafichwa hadi mtu anaenda kujifungua hakuna anaejua, Ila leo hii kuna photoshoots za wajawazito wakiwa kwenye vichupi wanaonesha tumbo

Mambo yanabadilika kwa kasi
 
Mkuu samahani mimi Umenena kitu kimenigusa!, wakati naanza biashara yangu nilikua napenda kutambia sana marafiki zangu ili kuwa motivate punde s punde nikawa napata majanga toka pale Ata nikisafiri sisemi nilikua nawatambia nimepata mchumba nikawa Ata sidumu nao ndo zinavunjika
Wazee walikua kwenye jamii ambazo husda zilikuwa zipo kweli kweli kwa hiyo kutangaza mambo yako mazuri ni kuzivutia hizo negative energy ndio maana wengi waliona ni mwiko hata kutangaza mafanikio.

Zamani mimba inafichwa hadi mtu anaenda kujifungua hakuna anaejua, Ila leo hii kuna photoshoots za wajawazito wakiwa kwenye vichupi wanaonesha tumbo

Mambo yanabadilika kwa kasi
 
Hongera wewe ambaye ni binadamu... Hata kenge ni kiumbe...
Ila chukua hiyo itakusaidia na utakapomkuza kijana wako WA kiume popote atakaposimama mwambie aseme "mzee wangu aliwahi kuniambia kama hajawahi kuishi na mzee basi mwambie aseme mwanaume yoyote eg uncle au mzee mmoja aliniambia" mengine achana nayo (tunaishi ili kujifunza)
 
Mc na Mchungaji pilipili ameweka wazi kuwa alijichanganya na kuoa mwanamke aliyejaa tamaa ya maisha ya juu hivyo anajuta sana na kutoa ushauri kuwa vijana kuwa makini wanapochagua wanawake wa kuoa kuepuka kuoa wanawake wenye tamaa ya mali na maisha ya gharama!

View attachment 3196832
Bora umejionea ukatushauri ila kipindi kile MAPENZI moto usingeweza kuelewa,hao viumbe hawana fourmula Broo na MKE au MPENZI wa mwenzio ndo mzuri!
 
Mc Pili pili kataa ndoa tuko paleeee!!!!

Tunakula popcorn 🍿

Kuna watumwa wandoa watakuja watasema "Sio wote, wengine wapo vizuri"

Brooooooooooo!!!! Mc PILIPILI wakati anaoa alikua na mawazo kama uliyonayo wewe saiz. Stuka broooooo!!!!

Wanaume wenzangu tusiwe ni wazito sana kustuka ndugu zangu, ukioa mwanamke ambae mmekutana kimjini mjini, mfano chuo, au mwanamke anaefanya kazi, au ambae kipato mnaendana uwezekano wa kuachana ni 70% , sasa kuliko kubetia hiyo asilimia 30 iliyobaki ni bora usioe tu.

Na uki mu expose kwenye sosha network ndio kabisaaaa!!!!

Hapa bongo kuna watu wana hela brooo, demu wako atapewa ofa ya kwenda hapo Serengeti chupi inalowa ghafra, akienda huko ni full Fimbo tu, siku akirudi nyumbani hataki hata kuguswa anakwambia amechoka kumbe alichokutana nacho huko Serengeti ni balaa, wewe kila siku unaishia kusikiliza nyimbo za side A kumbe kuna wqtu side A wanasikiliza na side B mkeo anaimba pia.
 
kumbe watu hubadilika, ya nini sasa kuoa?

Maana hapo tafsiri yake ulienae leo kesho anaeza akageuka

Bora usioe
Watu hubadilika.....hubadilisha maamuzi, watu hubadilisha mitazamo......na mioyo pia hubadilika......anayesema leo anakupenda na hawezi kuishi bila wewe usije kushangaa siku moja hataki hata kusikia jina lako......na yule alikuwa anakuchukia siku moja akawa rafiki yako kipenzi........

Sisi katika imani tunaambiwa tufanye mambo kwa kiasi.....usimchukie mtu sana na pia usimpende mtu Sana.....kwani adui anaweza kuwa rafiki na rafiki yako kipenzi anaweza kuwa adui yako........

FANYA MAMBO KWA KIASI.......
 
Mkuu samahani mimi Umenena kitu kimenigusa!, wakati naanza biashara yangu nilikua napenda kutambia sana marafiki zangu ili kuwa motivate punde s punde nikawa napata majanga toka pale Ata nikisafiri sisemi nilikua nawatambia nimepata mchumba nikawa Ata sidumu nao ndo zinavunjika
Sikutaka kuongea hili Ila hata mimi binadamu nawajua haswa wanaoitwa marafiki,

Kiuhalisia ni nadra kupata rafiki ambaye atapenda upige hatua kuliko yeye kimaisha na hii ni kwa sababu ya wivu. Kibaya zaidi wachache watapambana zaidi ili kukufikia Ila wengi watakuchukia kimya kimya na wachache huwa wanaenda extra miles kukuharibia

Pia kutambia watu sio tabia nzuri kwa sababu huwa ni show off, inawafanya watu wajihisi vibaya kuliko vizuri. Kama unamkubali rafiki yako na unataka afanikiwe, mpe channels lakini kuwa makini, lazma ujiaminishe kuhusu tabia zake lakini pia usitoe msaada au ushauri kama hujaombwa. Balance shobo zako na ujifunze kutunza siri zako, itakisaidia sana mkuu 🙏🏽🙏🏽
 
Back
Top Bottom