Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Wazee walikua kwenye jamii ambazo husda zilikuwa zipo kweli kweli kwa hiyo kutangaza mambo yako mazuri ni kuzivutia hizo negative energy ndio maana wengi waliona ni mwiko hata kutangaza mafanikio.Is why wazee wetu huwa wanasisitiza koto kutangazana au kutangaza ndoa yenu au mahusiano
Mara nyingi wenye matangazo hawafiki mbali, no matter how much kiasi cha pesa wanakuwa nacho
Zamani mimba inafichwa hadi mtu anaenda kujifungua hakuna anaejua, Ila leo hii kuna photoshoots za wajawazito wakiwa kwenye vichupi wanaonesha tumbo
Mambo yanabadilika kwa kasi