TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

mmh! sijui niandikeje maana maneno yake kwa mh. lowassa.....any apumzike kwa amani Wakili Msomi Mch. C. Mtikila
 
Mungu hapendelei, habagui wala HAUI. Mungu asihusishwe na ajali.
 
du poleni watanzania wenzangu.
tumepoteza jembe. huyu mtu alikuwa one man army na hakuna ubishi kwamba alikuwa chachu muhimu kwenye siasa za nchi hii. RIP Mchungaji
 
Huyu alisema lowasa ni mgonjwa wa kufa,Mbona yeye mwenye afya ndio ametangulia? Tuchunge ndimi zetu
 
Jamani wote tumwogope Mungu Wa mbiguni!
Kwa kuwa Sisi sote tu wagonjwa mbele zake hebu tusing'ong'ane maana hatui atakayeanza kufa!!!
 
Acheni Mungu aitwe Mungu!Pumzi isitupe kiburi,tunaweza kufa wakati wowote tukawaacha tunaowadhihaki kuwa ni wagonjwa/maiti wanaotembea!
R.I.P
 
Mungu hapendi mzaha kwani yeye ndiye humpa mja wake afya na maradhi kwa hiyo basi kifo chake ni fundisho kwa wengine km akina Mwigulu et el.

Mbona tupo wengi tunaosema Lowassa mgonjwa hatufi? Mungu hausiki hapo labda sema shetani wa lowassa kwa wanaomjua Lowassa kiundani hatushangai Hilo jambo kama unamuona mtakatifu pole ila kuna wanaovaa ngozi ya kondoo lakini ni mbwa mwitu wakali. rest in peace mchungaji kama ni mipango ya watu kusababisha Hilo ipo cku Mungu atawaumbua tu. Ameen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…