TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Tatizo wana jf wengi mmesahau au mnajisahaulisha juu ya zile dua na maombi siku ya uzinduzi wa UKAWA pale Jangwani.Kama kuna mwenye video ya yule ostadh atupie tufanye reference.

Mkuu inawezekana eeh
 
badala ya kuwahi kanisani wewe mchungaji unakwenda star tv, anyway mungu akuweke mahali pema as i trust you were a born again christian.
alikua anaenda star tv?
 
One bright morning when man life is over man will fly away from home to Zion. May the almighty God rest his soul in peace.
 
Duh maisha yetu ni kama Maua, asubuhi linachanua, jioni linanyauka.
Naomboleza kifo chako Mch. Mtikila.
 
Aisee nitamiss vituko vya huyu mchungaji kwenye siasa za Tz. R. I. P
 
Hapa Mungu anaingiaje?

Tatizo mkuu, uko mbali kwenye siasa za Tanzania ndio maana unashangaa kuwa hapa Mungu anaingiaje. Ni miongoni mwa wanasiasa waliomdhihaki sana Mungu juu ya afya EL hivi karibuni. Kama ni kweli Mungu awatie nguvu wafiwa. Na sisi twaendelea kujifunza kwamba kuumwa sio kufa. Anaweza kuondoka mzima mgonjwa anabaki, haya yote yanatokea ktk jamii zetu.
 
Lete ushahidi Kwamba Lowassa Amemuua Mch: Mtikila? Endeleeni Kumsema Lowassa Hata wewe Mungu Atakushugulikia, Mungu Yupo upande wa Lowassa. Ndiyo Mjue Afanyaye Mtu Kuwa Mzima Au Mgonjwa Au Kuua Ni Mungu Chungeni Midomo yenu. Wambie na wenzako. Mtafinywa sana.

Huwajui chadema wewe. Hao ni genge la wahalifu. R.I.P Chacha Wangwe & C.Mtikila damu yenu haitapotea bure.
 
  • Thanks
Reactions: AAS
Jamani, hii imenikata maini! Nimemsikia mwenyewe mchungaji Mtikila akimkashfu Lowassa kuhusu ugonjwa...tena alisema hivi, "Nimefurahishwa na tafiti za Twaweza maana Watanzania wameonyesha kuwa awalitaki jitu ligonjwa"....Leo kafa yeye!!! Lowassa shikamoo...hakika Lowassa ni mpango wa Mungu. Yani tunapatiwa majibu hapa hapa!
 
kazi ya mungu haina makosa. Ila El nae alishawahi kuhisiwa anawa........ mahasibu wake kisiasa. Isije ikawa matukio yanatengenezwa ili kuonyesha ukimsema fulani mgonjwa au yuko hv basi unakufa. MUNGU BARIKI UCHAGUZI UISHE KWA AMANI. MAGUFULI OYEEE NA CCM ITASHINDA KWA KISHINDO MWAKA HUU

Kwanini kila aliyemtabiria kifo mgombea wa urais kupitia ukawa kaanza kufa yeye,je ni wakati wa kuamini maneno ya mtoto wa sheikh yakhya hussen juu ya vifo alivyotabiri wakati wa uchaguzi. Mwisho nawahusia wanasiasa wakumbuke kila muomba chumvi huombea chungu chake falcon mombasa
 
Na pia kuna mtabiri alisema kisha magamba yakaanza kumlenga EDO.R.I.P Mch Mtii Killer
 
R.I.P Mchungaji Christopher Mtikila Bwana
alitoa Bwana ametwaa Jina la Bwana
lihimidiwe!
 
Back
Top Bottom