TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

Nimepata taarifa za itv hivi punde mtikila amefaliki dunia kutokana na ajali tujitahidi kuchunga ndimi zetu kwani hatuijui kesho
 
Kwani Mtikila alimuombea nini Lowasa? Acheni hizo. Mtikila alikuwa anasema kweli tupu kuhusu Lowasa. Ndo maana wameamua kumuua

Lete ushahidi Kwamba Lowassa Amemuua Mch: Mtikila? Endeleeni Kumsema Lowassa Hata wewe Mungu Atakushugulikia, Mungu Yupo upande wa Lowassa. Ndiyo Mjue Afanyaye Mtu Kuwa Mzima Au Mgonjwa Au Kuua Ni Mungu Chungeni Midomo yenu. Wambie na wenzako. Mtafinywa sana.
 
Mungu ndie anaejua kila kitu.........r.i.p mchungaji.............
 
Ni Habari za kuhuzunisha na majonzi aliyekuwa mgombea urais ndg Christopher Mtikila amefariki Dunia leo kwa ajali ya gari akiwa anatokea Morogoro.

Source; Radio one
 
Jamani nimesikia watu wakisema mtikila kafariki,ni kweli au uzushi?? Wenye taarifa kamili watujuze.
 
Kama ni kweli Mtikila amekufa, basi Nape naye ajiandae. Hiki si kitu cha kawaida. Wa tatu huyu sasa anakufa kutokana na kuidhiaki afya ya Lowassa.
name kibajaji na mungwulu mchemba
 
Pamoja na kwamba watu wana mtizamo tofauti kisiasa nadhani si vyema kushabikia umauti wa mtu mwingine
 
Ni wendawazimu kufikiri kwamba kama humuungi mkono Lowasa utakufa,kifo ni mpango wa Mungu,rest in pc Mtikila!

tatizo wanatoa kauli za dhihaka utafikiri wao ndo Mungu
 
Tatizo wana jf wengi mmesahau au mnajisahaulisha juu ya zile dua na maombi siku ya uzinduzi wa UKAWA pale Jangwani.Kama kuna mwenye video ya yule ostadh atupie tufanye reference.
 
Naomba kumfahamu Mungu wa Lowassa asie mvumilivu anaeua wanaohoji afya yake.

Lowassa Hatimaye ataunda serikali ya kidikiteta isiyohojiwa.

Walimdhihaki sana,baadhi wamethubutu kumwita MAREHEMU
hakika mungu in wa AJABU SANA!
**HAWA WALIOMWITA MAREHUMU KWANINI EE MOLA USIONYESHE UWEPO WAKO?
 
Back
Top Bottom