Pelekaroho
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 1,601
- 375
Ajuwaye Bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu na mgonjwa kuwa salama. RIP Rev. C. Mtikila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mtikila alimuombea nini Lowasa? Acheni hizo. Mtikila alikuwa anasema kweli tupu kuhusu Lowasa. Ndo maana wameamua kumuua
Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa
Kama ni kweli maanake unachaguzi nap so uyasogezwa mbele sasa huyu so alikuwa mgombea uraisi?
Kula like ya maana kiongozi. Dhihaka hazifai. Nani aijuaye sekunde ijayo atakuwa katka hali gani?
kama ni hivyo watadondoka wengi maana wengi wamemtukana sana Bw Lowassa.
Tutashuhudia mengi. Mungi hadhihakiwi na ameshaanza kuthibitisha hilo...
tuweke mbali siasa jamani huu ni msiba familia yake ipo kipindi gumu r.i.p mchungaji mtikila
Only God can judge me!!Leo siku ya wajinga?
Kama ni kweli mungu hadhihakiwi.