Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
R.I.P mungu ni mwema,tarudi tena ikithibitishwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha,duh...kafa kabla ya Lowassa?Mungu hadhihakiwi
Kwa kuua wengine? Mungu wa Lowassa yuko hivo?Ameanza na Mungu atamaliza na Mungu.
Mungu mkubwa,hadhihakiwi akakaa kimya.
Wenye kuona na waone utukufu wake.
nasikia uchaguzi unasogezwa mpaka february
Confirmed.Bado ni tetesi au zimeshathibitika
Kwani Mtikila alimuombea nini Lowasa? Acheni hizo. Mtikila alikuwa anasema kweli tupu kuhusu Lowasa. Ndo maana wameamua kumuuaLowassa ni MTUME, by Mwenyekiti CCM Dar-es-salaam. unalomuombea linakupata siku mbili nyingi.
Chinembe ni Mungu yupi huyo????? Mungu ni wa rehema na hataki hata mmoja apotee.
Kama huyo Mungu wa Lowasa anaua kila atakayemsema basi atauwa watu wengi sana. Lile kusudi la kazi ya msalaba litakuwa limefitinika.
Bwana wetu Yesu Kristo alifanyiwa kila namna ya uovu akasema Baba wasamehe hawajui wafanyalo. Huyo Mungu wa kulipiza papo kwa papo !!!!!!! Mh!!!!! Wapi kazi ya MSALABA???
Damu zilizomwagika hata sasa kama ni mapenzi ya Mungu zitaenda kwa AMANI. Kama ni umafya na ushirikina basi tegemeeni KISASI cha Bwana.
Queen Esther