TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

tuweke mbali siasa jamani huu ni msiba familia yake ipo kipindi gumu r.i.p mchungaji mtikila
 
Du so sad jamn hakuna anayeshikilia uhai Wa MTU ila Mungu tu,ni kweli mtikila kafariki hata Tbccm wamethibitisha kwenye taarifa yao ya habari asubuhi hii
 
R.I.P mtikila, nilikupenda sana ila nilikupuuza ulipoanza kumtukana Lowassa, safari yetu ni moja
 
Chinembe ni Mungu yupi huyo????? Mungu ni wa rehema na hataki hata mmoja apotee.

Kama huyo Mungu wa Lowasa anaua kila atakayemsema basi atauwa watu wengi sana. Lile kusudi la kazi ya msalaba litakuwa limefitinika.

Bwana wetu Yesu Kristo alifanyiwa kila namna ya uovu akasema Baba wasamehe hawajui wafanyalo. Huyo Mungu wa kulipiza papo kwa papo !!!!!!! Mh!!!!! Wapi kazi ya MSALABA???

Damu zilizomwagika hata sasa kama ni mapenzi ya Mungu zitaenda kwa AMANI. Kama ni umafya na ushirikina basi tegemeeni KISASI cha Bwana.

Queen Esther

Alimkashifu lowasa kuhusu ugonjwa,mpaka akatishia kumshitaki mahakamani kwamba kwa nini anagombea wakati ni mgonjwa
 
Nimekuta picha mahali zikionyesha gari ndogo imepata ajali na kuna mwili wa mtu amevaaa suti anafanana kidogo na Mchungaji Mtikila. Kama ni kweli basi Mungu wa UKAWA anaishi

Lazima chadema mchunguzwe tena kwa kufo hiki na cha Chacha Wangwe. Huwezi kufurahia kifo cha binadamu kiasi cha kumpongeza eti Mungu wa Ukawa! Wachunguzi wa assassinations waitwe kubaini hii ajali inaweza kuwa ya kutayarishwa na nyie mlioupokea msiba huu kwa furaha.
 
r.i.p mchungaji daa sote njia yetu ni moja 2
 
Katika mahojiano ya RPC na mtangazaji wa TBC FM rpc amethibitisha kutokea kwa ajali katika barabara ya dar, moro ambapo gari dogo limeacha njia nakupinduka maeneo ya chalinze na kuuwa mtu mmoja ambaye ni mchungaji Christopher Mtikila mwenyekiti wa DP. Mungu akulaze mahali pema peponi Amen.

Source TBC FM
 
Mungu ndio muumba wa vyote, tusimkosoe! Jina lako lihimidiwe!
 
Back
Top Bottom